Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Mkuu mbona una wivu wa kujingaWajerumani walijenga central line tuwaabudu basi.
Kweni nimesema nini?Mkuu mbona una wivu wa kujinga
Upo sahihi ni mradi wa ovyo sana usio na faida ila aliyejenga lile daraja ni JK sio JPMEti masihala,kujenga miradi ambayo sio kipaumbele cha taifa bali cha kiongozi binafsi!!mfano lile daraja la tanzanite limeongeza tija gani kwa eneo lilipowekwa?hizo pesa zilizotumika pale kuna sehemu zingepelekwa zingeonekana zimeleta tija nzuri zaidi!!Leo mnakuja kupiga kelele eti mama anakopa sana hayo mamiradi yaliyoanzishwa kwa MZUKA,yatakamilika vipi,bila kukopa?ial MUNGU FUNDI
Hahahaha, mwenzetu unaishi mkoa gani? Sisi wanaopita hapo kutoka sehemu za Tegeta, Mwenge kwenda Posta tumeshaona faida la hili daraja.Eti masihala,kujenga miradi ambayo sio kipaumbele cha taifa bali cha kiongozi binafsi!!mfano lile daraja la tanzanite limeongeza tija gani kwa eneo lilipowekwa?hizo pesa zilizotumika pale kuna sehemu zingepelekwa zingeonekana zimeleta tija nzuri zaidi!!Leo mnakuja kupiga kelele eti mama anakopa sana hayo mamiradi yaliyoanzishwa kwa MZUKA,yatakamilika vipi,bila kukopa?ial MUNGU FUNDI
Acha uongo!Upo sahihi ni mradi wa ovyo sana usio na faida ila aliyejenga lile daraja ni JK sio JPM
Kuna vitu vingine si vya kupinga pinga tu wakati vinaonekana wazi mkuu chuki azisaidii kama kufa kashakufa sababu ya kumuonea wivu ni niniMkuu mbona una wivu wa kujinga
Wedada acha ujinga...Eti masihala,kujenga miradi ambayo sio kipaumbele cha taifa bali cha kiongozi binafsi!!mfano lile daraja la tanzanite limeongeza tija gani kwa eneo lilipowekwa?hizo pesa zilizotumika pale kuna sehemu zingepelekwa zingeonekana zimeleta tija nzuri zaidi!!Leo mnakuja kupiga kelele eti mama anakopa sana hayo mamiradi yaliyoanzishwa kwa MZUKA,yatakamilika vipi,bila kukopa?ial MUNGU FUNDI
Foleni au Foreni....?Hahahaha, mwenzetu unaishi mkoa gani? Sisi wanaopita hapo kutoka sehemu za Tegeta, Mwenge kwenda Posta tumeshaona faida la hili daraja. Yani hatupotezi masaa mengi katika foreni za magari mpaka tumeshasahau usumbufu wa foreni ya zamani eneo hilo. Cha ajabu, hata barabara ya zamani nayo foreni imesha. Usikae tu kijijini njo utembee na Dsm pia.
Binafsi ukiachana na Nyerere, Mkapa pamoja Magufuli ndio marais Bora kabisa kwa nchi yetu.Magufuli sifa ya kuu nd ndio maraisi tuliwahi kuwa nao wameshindwa kuwa navyo ni mfuatiliaji na msimamizi mzuri na ndio maana miradi Mingi ilikuwa inatekelezwa kwa wakati mfano mzuri ile flyover ya ubungo ingekuwa kipindi Cha nyuma ingekamilika miaka 6 na kuendelea.
Mradi wa maji wa ubongo na maeneo ya mbezi jk kaondoka ikiwa upo lakini maji hayatoki baada ya kuingia Magufuli tu ukuanza kutoa maji na shida ya maji ikiwa history kwa wiki maji yanatoka siku si chini ya siku 4.Magufuli akishaahadi kitu lazima akipambanie kitekelezeke.
Ziara nyingi alizokuwa anazifanya mikoani hawezi kuondoka bila kutatua tatizo na ndio maana alikuwa anakubalika Sana kama kulikuwa na Ufisadi kwenye miradi pale pale watu wanatumbuliwa.
Katika kundi la watu wapumbavu na ambao watadumu na upumbavu wao hadi wanaingia kaburini, hamna njia yoyote ya wewe kujitoa humo.Eti masihala,kujenga miradi ambayo sio kipaumbele cha taifa bali cha kiongozi binafsi!!mfano lile daraja la tanzanite limeongeza tija gani kwa eneo lilipowekwa?hizo pesa zilizotumika pale kuna sehemu zingepelekwa zingeonekana zimeleta tija nzuri zaidi!!Leo mnakuja kupiga kelele eti mama anakopa sana hayo mamiradi yaliyoanzishwa kwa MZUKA,yatakamilika vipi,bila kukopa?ial MUNGU FUNDI
Ila darana la mto Wami kujengwa sawa! Kwa kuwa linaenda kwenu!ππππEti masihala,kujenga miradi ambayo sio kipaumbele cha taifa bali cha kiongozi binafsi!!mfano lile daraja la tanzanite limeongeza tija gani kwa eneo lilipowekwa?
Hizo pesa zilizotumika pale kuna sehemu zingepelekwa zingeonekana zimeleta tija nzuri zaidi!!Leo mnakuja kupiga kelele eti mama anakopa sana hayo mamiradi yaliyoanzishwa kwa MZUKA,yatakamilika vipi,bila kukopa?ial MUNGU FUNDI