Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Ilikuwa kama masihara hivi Hayati Magufuli alipoahidi atajenga daraja la Busisi lenye urefu wa zaidi ya kilomita 3. JPM kama alivyoahidi ujenzi ulianza mara moja.
Hapo juu ni ujenzi wa daraja la Busisi likiendelea kujengwa na sasa ujenzi wake umezidi 50%.
Pongezi za dhati zimwendee Rais Samia kwa kuuendeleza mradi huo ambao utarahisisha mwingiliano wa nchi tatu za Burundi, Rwanda na Uganda.
R.I.P JPM.