Daraja la Mbaka, barabara ya Busokelo - Tukuyu, sasa tunaenda miaka 25 hii miradi haijakamilika, tatizo nini?

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839
Katika miaka 25 ambayo Magufui amekuwa kinara wa ujenzi wa mabarabara nchi, barabra ya Busokelo -Tukuyu imetia fora kwa kusuasua! Hivi leo ni mwaka wa 26 sasa, hakuna fedha zinenda kwenye mradi wa barabra hii muhimu.

Wananchi wamelia na serikali lakini wapi.

Jionee mwenyewe Mwenyekiti wa Halmashauri Busokelo akilalamika kuwa barabara zingine za makilometa 100 zinatengewa fedh na zinakamilika, lakini si hii barabara.

Kunani TANROADS?

Tazama video hii
 
Masopakyindi wewe pamoja na kuwa mshawishi kindakindaki umeshindwa kushawishi serkali ya chama chako ijenge daraja lile lenye kutenganisha Rungwe na busokelo. Busokelo ikiwa eneo lenye uzalishaji wa zao la Chai,ndizi,ulezi,kahawa na kakao bila kusahau vivutio vya utalii hasa mabwawa adm ya asili ndani ya bonde la ufa kama ,iramba,kyungululu,King ili,itamba,ikapu etc
CCM waneshindwa kujenga daraja lile..huku wakikusanya ushuru mkubwa wa vyanzo tajwa hapo juu..
 
CCM ndio chama chetu lakini hatujui kwa nini tunaadhibiwa , toka kwa Mkapa, Kikwete na Magufuli.
Common denominator hapo, miaka yte waziri anayehusika na ujenzi ni Magufuli.
5 tena kwa ccm
 
CHADEMA wabaya sana ,wamesababisha hata mvua isinyeshe ndiyo maana Dar Kuna mgao wa maji na umeme.
Mazuzu hapo umewatia ndimu subiri watakavyo kurupuka kukupongeza
 
Masopakyindi wewe pamoja na kuwa mshawishi kindakindaki umeshindwa kushawishi serkali ya chama chako ijenge daraja lile lenye kutenganisha Rungwe na busokelo. Busokelo ikiwa eneo lenye uzalishaji wa zao la Chai,ndizi,ulezi,kahawa na kakao bila kusahau vivutio vya utalii hasa mabwawa adm ya asili ndani ya bonde la ufa kama ,iramba,kyungululu,King ili,itamba,ikapu etc
CCM waneshindwa kujenga daraja lile..huku wakikusanya ushuru mkubwa wa vyanzo tajwa hapo juu..
Mkuu watu wakisema Magufuli alikuwa na roho mbaya hawaelewi.
 
Katika miaka 25 ambayo Magufui amekuwa kinara wa ujenzi wa mabarabara nchi, barabra ya Busokelo -Tukuyu imetia fora kwa kusuasua!
Hivi leo ni mwaka wa 26 sasa, hakuna fedha zinenda kwenye mradi wa barabra hii muhimu.

Wananchi wamelia na serikali lakini wapi.

Jionee mwenyewe Mwenyekiti wa Halmashauri Busokelo akilalamika kuwa barabara zingine za makilometa 100 zinatengewa fedh na zinakamilika, lakini si hii barabara.

Kunani TANROADS?

Tazama video hii

Wanasubiri kwanza daraja la Busisi, kuelekea Chato likamilike!
 
Katika miaka 25 ambayo Magufui amekuwa kinara wa ujenzi wa mabarabara nchi, barabra ya Busokelo -Tukuyu imetia fora kwa kusuasua! Hivi leo ni mwaka wa 26 sasa, hakuna fedha zinenda kwenye mradi wa barabra hii muhimu.

Wananchi wamelia na serikali lakini wapi.

Jionee mwenyewe Mwenyekiti wa Halmashauri Busokelo akilalamika kuwa barabara zingine za makilometa 100 zinatengewa fedh na zinakamilika, lakini si hii barabara.

Kunani TANROADS?

Tazama video hii

Kinachofanyika yaani kusuasua mradi kwa miaka 25 ni ubaguzi wa wazi kimaendeleo.
 
Katika miaka 25 ambayo Magufui amekuwa kinara wa ujenzi wa mabarabara nchi, barabra ya Busokelo -Tukuyu imetia fora kwa kusuasua! Hivi leo ni mwaka wa 26 sasa, hakuna fedha zinenda kwenye mradi wa barabra hii muhimu.

Wananchi wamelia na serikali lakini wapi.

Jionee mwenyewe Mwenyekiti wa Halmashauri Busokelo akilalamika kuwa barabara zingine za makilometa 100 zinatengewa fedh na zinakamilika, lakini si hii barabara.

Kunani TANROADS?

Tazama video hii

Kwani kwwnye vikao vya chama wanasemaje
 
Back
Top Bottom