Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasonga kinyuma nyuma tu maana hakuna maendeleoAh! Si tunasmbiwa wamethubutu,wameweza na wanasonga mbele ama?
Yupo kwao kyela analima mpunga tuIvi mwakyembe ndo kakimbilia michezo eti?
Ha ha haa,bas Tulia atulie basYupo kwao kyela analima mpunga tu
Akili kubwa sana mwamba, they had Mwandosya, nyakati za Magufuli alikuwa upande wa kupinga na kwa influence yake angetoa maombi nyakati za JPM ingekuwa hadithi huo ujima wao. Wapambaneni na huyo nguchiro wao Mwakibete sifuri kbsa hawa wa busokelo, wamejaa upopoma na undezi kama wote.Hiyo halimashauri imeongozwa na Chadema kwa muda mrefu sana.
Inaelekea huko Rungwe chama kimedoda!Kwani kwwnye vikao vya chama wanasemaje