wababayangu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2021
- 814
- 1,107
MkuuHili suala la kufunga daraja kwa ajili ya mechi ya UEFA limekaaje kitaalam mbona kama haliko sawa hivi.
Serikali iko wapi maana hili sio la kufumbia macho.
Huduma muhimu zinasitishwa kwa ajili ya anasa.
Je? daraja lilijengwa ili iwe ni sehemu ya kuangalizia mpira.
View attachment 2242047
Set up inaanza saa4 usiku au hakuna set up!?Uchumi upi unozungumzia uck wa sa4 weekend?
Utapata wehu.Usiwe sirias sana na miandiko.Utapata wehu.
Ovyo kabisa wewwKabla ya daraja mlipita wapi?
Nimefika hapo, hakuna mlalahoi anayeruhusiwa kuingia tofauti na walivyotangaza! Watu wengi wamesimama round bout kwakuwa hawana kadi ambazo hawakusema kama zinauzwa au la! Sasa hizo ajira za muda mfupi ni zipi?Ajira za muda ni ngapi zimetengenezwa kama kuuza vyakula? mambo ya usafiri kama bajaj na bodaboda na wale wa little ride au bolt!
Ndio uone ujinga wa sie watanzania....mbona wao hawaonyeshi mechi zetu kwenye madaraja yao....alafu wakituita manyani tunalalamika
Nyie mnashadadi mipira ya wenzenu waliokaa chini na kutumia akili kitengeneza product ambayo mnaitamani.Sio lazima wainge, acha ushamba wa Mbagala
lengo la kujengwa daraja ni lipi?
NomaaWajanja wameweka na karoyal tua Kwa mbaali
Huo uhuni.Wameamua kubadili mazingira ili iwe tofauti na sehemu zilizozoeleka.
Au Chamwino,DodomaNaamini mara ingine watachukua bombadia moja na kuitumia kutuonesha mpira mubashar angani.
Pitia hapo dukani kwa mangi faster uagizie chochote ntapita hapo baadaye na range yangu autobiography 2022 kulipia.Swali la kujiuliza ni kuwa uzito ukielemea sehemu Moja kwa muda mrefu je haitaleta madhara maana sio baada ya hapo mara daraja lina ufa au mkaja kutumbukia baharini mkaangalie UEFA na samaki
KweliBasi tugeuze kibanda umiza mazima tuanze fanya harusi pia na mikutano ya adhara
Kila kitu kina umuhimu.Hilo daraja siyo muhimu sana kwani kuna njia mbadala.
Kwanini wasipeleke sehemu husika?Hapana hoja ni daraja, kufungwa leo tu sio mbaya maana hata likihitaji marekebisho litafungwa zaidi ya siku