Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
We jamaa acha nongwa mitaani tunafunga mitaa kwa kucheza rusha rohoMazuri ni kufunga daraja??
Kwanini wasipeleke viwanja vya michezo screens Taifa, Karume basi!? Na mechi ikaangaliwa huko!?
Kwenye miundo mbinu yote yenye kuzingatia afya na usalama!? Kuanzia mahali pa kukaa mpaka vyoo!
Open public spaces zote wameziuza, badili matumizi, kiholela..!