Daraja la Tanzanite kufungwa kuangalizia fainali UEFA, Serikali iko wapi?

Daraja la Tanzanite kufungwa kuangalizia fainali UEFA, Serikali iko wapi?

Nadhan pesa wanayopata kwaajili ya hiyo UEFA ni nyingi kuliko kupitisha magari
 
Kwani hilo daraja ndio linafungwa milele ama wiki ngapi!!

KICHWA BOX
 
Kwa hiyo kwa sababu kabla ya Uhuru wazee wetu walikuwa wanachapwa viboko uchi na mjeurumani hivyo serikali inapaswa kuendelea kuchapa watu wake viboko uchi?🤔
Hapana hoja ni daraja, kufungwa leo tu sio mbaya maana hata likihitaji marekebisho litafungwa zaidi ya siku
 
Sometimes tusiwe rigid sana, maisha mafupi sana. Dunia nzima barabara huwa zinafungwa Kwa matukio mablimbali. Hata hapa Tz barabara huwa zinafungwa siku kukiwa na marathon.
Hilo daraja lishafungwa sana siku za marathon na hakukuwa na madhara wala malalamiko kama hii ya ECL.
Daraja linafungwa jumamosi jioni honestly jumamosi jioni kuna traffic gani kiasi cha kushindwa kutumia njia mbadala?
Tuache kulalamika hovyo maisha mafupi haya.
 
Tulisema hilindaraja ni la mapambo ya kuvutia watalii, sasa mnaona.
Mkuu daraja limeondoa foleni kubwa iliokuwa inasumbua kuanzia at Peter's kuja mjini, kinondoni makaburi kuja mjini,Kenyatta drive kuja mjini.
Maeneo hayo yalikuwa hayafai Kwa foleni sasa hivi hakuna foleni kabisa kiasi kwamba traffic police wala hawahangaiki kuongoza magari muda mwingi labda kukiwa na msafara
 
Kuna MOBILE TOILETS
Mr Event manager! Hazijawahi kuzuia watu kujisaidia ovyo kwenye event yoyote, nje ya hizo mobile toilet huwa kunachafuka sana, watu 1000 mobile toilets 10-20, kila 1 ihudumie watu 50, wakiwamo wanaokunywa beer, huku DJ anapiga asikuambie mtu beer tamu!

Kila la heri. Hope kuna plan ya Kajenjere kusafisha eneo kesho mapema!
 
Hili suala la kufunga daraja kwa ajili ya mechi ya UEFA limekaaje kitaalam mbona kama haliko sawa hivi.

Serikali iko wapi maana hili sio la kufumbia macho.

Huduma muhimu zinasitishwa kwa ajili ya anasa.

Je? daraja lilijengwa ili iwe ni sehemu ya kuangalizia mpira.
View attachment 2242047
Yaan ma bar yotee hayo hayatoshi
 
Sometimes tusiwe rigid sana, maisha mafupi sana. Dunia nzima barabara huwa zinafungwa Kwa matukio mablimbali. Hata hapa Tz barabara huwa zinafungwa siku kukiwa na marathon.
Hilo daraja lishafungwa sana siku za marathon na hakukuwa na madhara wala malalamiko kama hii ya ECL.
Daraja linafungwa jumamosi jioni honestly jumamosi jioni kuna traffic gani kiasi cha kushindwa kutumia njia mbadala?
Tuache kulalamika hovyo maisha mafupi haya.
Hivi litafungwa kwa muda gani?

Ova
 
Nakubaliana nawe shithole countries tuna safari ndefu!
Usafiri unachochea uchumi kuboresha huduma, Sisi tunafunga daraja!?
Beberu anatucheki na kuchekaaa maana tunachekesha!
Uchumi upi unozungumzia uck wa sa4 weekend?
 
Aiseee mi siamini, hadi nipate udhibitisho, WatZ hatujafikia stage ya kuchanganyikiwa kiasi hicho
Ni kweli nilisikia jana Clouds asbh kwenye PB wakitangaza, kuwa wataanza na filamu ya Royal Tour then watamalizia fainali ya UEFA CHAMPION LEAGE.

NDIYO TANZANIA WANAYOITAKA WATANZANIA, TANZANIA YA BATA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom