Daraja la Tanzanite kufungwa kuangalizia fainali UEFA, Serikali iko wapi?

Pamoja! Nime read between the lines!

Usemacho ni kweli kabisa!

Public open spaces, Leaders, Tanganyika Packers, Mbagala kule, stadiums Taifa Karume kupo!
Ila wameona Bora wafunge daraja, eti weekend hakuna foleni!

Wabongo wanywe mibia na kunya ovyo, watupe michupa ovyo, wakojoe kila mahali, ndiyo tutajua hatujui!
Mama yangu Tanzania..in Mbatiaz voice!
eeeh Mungu angalia jinsi tunavyo angamia kwa kukosa maarifa
 
Pamoja! Nime read between the lines!

Usemacho ni kweli kabisa!

Public open spaces, Leaders, Tanganyika Packers, Mbagala kule, stadiums Taifa Karume kupo!
Ila wameona Bora wafunge daraja, eti weekend hakuna foleni!

Wabongo wanywe mibia na kunya ovyo, watupe michupa ovyo, wakojoe kila mahali, ndiyo tutajua hatujui!
Mama yangu Tanzania..in Mbatiaz voice!
Hakuna viumbe wastaarabu duniani kama wanywa bia.Niamini mimi.
 
S
Pamoja! Nime read between the lines!

Usemacho ni kweli kabisa!

Public open spaces, Leaders, Tanganyika Packers, Mbagala kule, stadiums Taifa Karume kupo!
Ila wameona Bora wafunge daraja, eti weekend hakuna foleni!

Wabongo wanywe mibia na kunya ovyo, watupe michupa ovyo, wakojoe kila mahali, ndiyo tutajua hatujui!
Mama yangu Tanzania..in Mbatiaz voice!
Siku zote mwenye macho ukikubali kuongozwa na kipofu lazima atakutumbukiza shimoni. Tanzania ni nchi inayoongozwa na vipofu[CCM] aya fikiri nini Sasa kitatokea?🤔
 
Unadhani ni shillingi ngapi ambayo itaingia kwa leo tu kwa kuuza bia pale na serikali itavuta chake??? kupewa kibari unadhani imelipiwa shilingi ngapi? polisi kusimamia usalama unadhani wanafanya bure? Ajira za muda ni ngapi zimetengenezwa kama kuuza vyakula? mambo ya usafiri kama bajaj na bodaboda na wale wa little ride au bolt!

Uzuri kuna option ya barabara sio kwamba ndio tegemeo tu!

Kwa watu wanaopenda mpira wala hawana wasi wasi juu ya ili lakini wasiokunywa bia lazima wawe na makasiriko sana!! kwa kuwa niko kwenye creativity nampongeza aliyetoa idea
 
Unavyoleta taarifa,hata Kama wewe ulisikia,leta taarifa iliyokuwa kamili kwaajili ya wengi.

Kuna watu hatulijui hata hilo daraja
 
Ustaarabu wao ni upi?, au ndo una entertain your careeer?
 
Unadhani ni shillingi ngapi ambayo itaingia kwa leo tu kwa kuuza bia pale na serikali itavuta chake??? kupewa kibari unadhani imelipiwa shilingi ngapi? polisi kusimamia usalama unadhani wanafanya bure? Ajira za muda ni ngapi zimetengenezwa kama kuuza vyakula? mambo ya usafiri kama bajaj na bodaboda na wale wa little ride au bolt!

Uzuri kuna option ya barabara sio kwamba ndio tegemeo tu!

Kwa watu wanaopenda mpira wala hawana wasi wasi juu ya ili lakini wasikunywa bia lazima wawe na makasiriko sana!
kama kulikuwa na option ya daraja tangu mwanzo lisingejengwa.
hii nayo ni akili mgando
 
Tanzanite bridge mkuu
Unavyoleta taarifa,hata Kama wewe ulisikia,leta taarifa iliyokuwa kamili kwaajili ya wengi.

Kuna watu hatulijui hata hilo daraja
 
kama kulikuwa na option ya daraja tangu mwanzo lisingejengwa.
hii nayo ni akili mgando
Akili mgando haswa!!! Jangwani ndio palipaswa kupewa kipaumbele cha kujengwa daraja kuliko daraja la Tanzanite! ile imefanyika pendezesha mandhari ya jiji la Dar Es Salaam
 
Hili suala la kufunga daraja kwa ajili ya mechi ya uefa limekaaje kitaalam mbna kama haliko sawa hivi

Serikali iko wapi maana hili sio la kufumbia macho .
Huduma muhimu zinasitishwa kwa ajili ya hanasa .
Je? daraja lilijengwa ili iwe ni sehemu ya kuangalizia mpira.
Labda Nchi yetu inalipwa pesa nzuri kwa ajili ya zoezi hilo.
Vinginevyo hiyo sawa.
 
Back
Top Bottom