Daraja la Tanzanite kufungwa kuangalizia fainali UEFA, Serikali iko wapi?

Daraja la Tanzanite kufungwa kuangalizia fainali UEFA, Serikali iko wapi?

Nakubaliana nawe shithole countries tuna safari ndefu!
Usafiri unachochea uchumi kuboresha huduma, Sisi tunafunga daraja!?
Beberu anatucheki na kuchekaaa maana tunachekesha!
Siku zote maskini ataendelea kuwa maskini asipokubali kujifunza mazuri kwa tajiri🤔
 
Nakubaliana nawe shithole countries tuna safari ndefu!
Usafiri unachochea uchumi kuboresha huduma, Sisi tunafunga daraja!?
Beberu anatucheki na kuchekaaa maana tunachekesha!
halafu jamaa anasema eti tumeongea na serikali imekubali hii ni aibu kwa taifa
 
Kwa hiyo kwa sababu kabla ya Uhuru wazee wetu walikuwa wanachapwa viboko uchi na mjeurumani hivyo serikali inapaswa kuendelea kuchapa watu wake viboko uchi?🤔
hilo lijamaa ni lijinga
 
Nachojiuliza hao watu 1000 watatoa viingilio kama vibanda umiza au ndo wanatanzania wanapenda vya bure
 
Kipi cha kushanngaza hapo... Wamefuata taratibu zote kufanya shughuli hiyo!
 
Siku zote maskini ataendelea kuwa maskini asipokubali kujifunza mazuri kwa tajiri🤔
Mazuri ni kufunga daraja??

Kwanini wasipeleke viwanja vya michezo screens Taifa, Karume basi!? Na mechi ikaangaliwa huko!?
Kwenye miundo mbinu yote yenye kuzingatia afya na usalama!? Kuanzia mahali pa kukaa mpaka vyoo!

Open public spaces zote wameziuza, badili matumizi, kiholela..!
 
Hili suala la kufunga daraja kwa ajili ya mechi ya uefa limekaaje kitaalam mbna kama haliko sawa hivi

Serikali iko wapi maana hili sio la kufumbia macho .
Huduma muhimu zinasitishwa kwa ajili ya hanasa .
Je? daraja lilijengwa ili iwe ni sehemu ya kuangalizia mpira.
Wajanja wameweka na karoyal tua Kwa mbaali
 
Back
Top Bottom