Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Sasa kama kiongozi wa chama kitaifa anakiuzia chama chake mwenyewe magari mabovu, na chakavu kwa bei ya dukani ili awahi kukusanya mpunga wa kwenda kula bata Dubai na familia yake, huku akiacha chama hakina hata ofisi ya kujitegemea hauoni kuwa tuna wanasiasa wa ajabu sana nchi hii. Just imagine viongozi au kiongozi wa aina hii awe raisi wetu hali itakuaje!So wamewajengea mabalozi, Hakuna balozi aisie uswahilini
Mtoa mada akapimwe akili kwanzaUnajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.
Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya. Sasa tungejenga kituo cha afya cha Bil mbili kwa hiyo Bil 243 tungepata vito vya afya kibao.
Hili daraja ni kwa ajili ya vibosile wa CCM ili wapate shortcut kufika Masaki no Oysterbay kwa urahisi. Hii ni Nonsense kabisa.
Daraja na mjenzi wa darajaWalitoa msaada wa pesa au daraja?
Hata ile Flyover ya Mfugale imelenga kuwasaidia wakubwa wanaoelekea Airport au wakitoka Airport.Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.
Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya. Sasa tungejenga kituo cha afya cha Bil mbili kwa hiyo Bil 243 tungepata vito vya afya kibao.
Hili daraja ni kwa ajili ya vibosile wa CCM ili wapate shortcut kufika Masaki no Oysterbay kwa urahisi. Hii ni Nonsense kabisa.
Msaada wa S.Korea so huwezi wapangia unless gvt ndio ilichagua huo mradi.
KiongoziUnajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.
Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya. Sasa tungejenga kituo cha afya cha Bil mbili kwa hiyo Bil 243 tungepata vito vya afya kibao.
Hili daraja ni kwa ajili ya vibosile wa CCM ili wapate shortcut kufika Masaki no Oysterbay kwa urahisi. Hii ni Nonsense kabisa.
Mjinga tu huna akili.Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.
Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya. Sasa tungejenga kituo cha afya cha Bil mbili kwa hiyo Bil 243 tungepata vito vya afya kibao.
Hili daraja ni kwa ajili ya vibosile wa CCM ili wapate shortcut kufika Masaki no Oysterbay kwa urahisi. Hii ni Nonsense kabisa.
Tuliza makalio, tuliza makalioMjinga tu huna akili.
Sio kweli, fikiria vizuri na utueleze kama umeishawahi kushuhudia daraja la Salendar likijifunga nini huwa kinatokea kwa jiji la Dar. Usiwaze kwa kufikiria njaa, waza kwa tija za kiuchumi. Kuna wakazi wa Dar huwa wanatumia zaidi ya saa 12 kuvuka eneo hilo tuUnajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.
Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya. Sasa tungejenga kituo cha afya cha Bil mbili kwa hiyo Bil 243 tungepata vito vya afya kibao.
Hili daraja ni kwa ajili ya vibosile wa CCM ili wapate shortcut kufika Masaki no Oysterbay kwa urahisi. Hii ni Nonsense kabisa.
Huna akili nyumbu wewe, chuki na roho zako za korosho usizilete kwenye maendeleo ya watanzania.Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.
Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya. Sasa tungejenga kituo cha afya cha Bil mbili kwa hiyo Bil 243 tungepata vito vya afya kibao.
Hili daraja ni kwa ajili ya vibosile wa CCM ili wapate shortcut kufika Masaki no Oysterbay kwa urahisi. Hii ni Nonsense kabisa.
Hii ni shida ya kuwa na wabunge wa kupiga makofi, tungekuwa na wabunge kama wa ghana hakika isingejengwaNchi haina vipaumbele, walipa kodi awashirikishwi juu ya matumizi ya kodi zao.
Matrekta ni muhimu kuliko ndege na yanazalisha uchumi mkubwa kuliko ndege ,yanarudisha pesa haraka kuliko ndege.
Soko kubwa lipo China lima, peleka chochote kule.
Kutwa kuwalaumu wazungu juu ya kushindwa kwetu, wakati wanasiasa ndio chanzo.
NonsenseUnajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.
Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya. Sasa tungejenga kituo cha afya cha Bil mbili kwa hiyo Bil 243 tungepata vito vya afya kibao.
Hili daraja ni kwa ajili ya vibosile wa CCM ili wapate shortcut kufika Masaki no Oysterbay kwa urahisi. Hii ni Nonsense kabisa.
Kama mtu anaishi Bunju Tegeta etc atakuwa anajua umuhimu wa hili daraja, lakini michadema tangia mwanzo ni kupinga tu. Tatizo lilianza kujengwa wakati wa JPM tuViongozi wa Chama na Serikali wako Dodoma. Masaki na Oyster bay wanafanya nini?
Hao matajiri wakubwa ndio walipakodi wakubwa. Je ingekuepo serikali ya majimbo ingekuwaje si Dar es salaam ingepata pesa nyingi kwasababu ndio city centreUnajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.
Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya. Sasa tungejenga kituo cha afya cha Bil mbili kwa hiyo Bil 243 tungepata vito vya afya kibao.
Hili daraja ni kwa ajili ya vibosile wa CCM ili wapate shortcut kufika Masaki no Oysterbay kwa urahisi. Hii ni Nonsense kabisa.
Bado hoja yake ina mashiko, haiwezekani hata madarasa tuu tunayajenga kwa fedha ya mkopo wa covid halafu unatumia mabilioni kujenga daraja ambalo zaidi ya kupendezesha jiji haiondoi kero za msingi.Basi tusijenge barabara au daraja lolote kokote tupeleke afya kijijini.
Omba Mungu akunyime vyote lakini asikunyime akili.
Wakaa think tanks???? NooooTambua kuwa Masaki na Oysterbay ni maeneo ambayo ni makazi ya mabalozi, makazi ya MaCEO wa makampuni makubwa, kuna mahoteli makubwa...wanakaa think tanks wengi wa nchi hii....hawa ni watu muhimu ambao muda wao lazima uzingatiwe maana pia mchango wao kwa maendeleo ya Taifa hili ni mkubwa...