Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.

Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya. Sasa tungejenga kituo cha afya cha Bil mbili kwa hiyo Bil 243 tungepata vito vya afya kibao.

Hili daraja ni kwa ajili ya vibosile wa CCM ili wapate shortcut kufika Masaki no Oysterbay kwa urahisi. Hii ni Nonsense kabisa.
Huo ni umasikini wewe kila kitu kinaumuhimu
 
Tatizo kubwa tanzania hatuna vipaombele yaana miradi mingi inajengwa kutokana na nguvu ya wabunge wa upande huo kudai huduma serikali haina mipango ya kutatua zile kero haswaa za wananchi. Na wanaacha makusudi ili waombee kura uchaguzini
Viongozi hawezi kujali mambo ya vipaumbele kama wananchi wamezubaa na wako wako tu. Wajali kwa sababu gani hasa? Wao na familia zao wanapata kila wanachotaka na kusaza. Bila sisi wananchi unyumbu na kuwa wakali hakuna kitakachobadilka.
 
Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.

Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya. Sasa tungejenga kituo cha afya cha Bil mbili kwa hiyo Bil 243 tungepata vito vya afya kibao.

Hili daraja ni kwa ajili ya vibosile wa CCM ili wapate shortcut kufika Masaki no Oysterbay kwa urahisi. Hii ni Nonsense kabisa.
Unadhani hata wewe usipojinunulia viatu Vizuri ndio Umasikini utaisha kwenu?
 
Nchi haina vipaumbele, walipa kodi awashirikishwi juu ya matumizi ya kodi zao.
Matrekta ni muhimu kuliko ndege na yanazalisha uchumi mkubwa kuliko ndege ,yanarudisha pesa haraka kuliko ndege.
Soko kubwa lipo China lima, peleka chochote kule.
Kutwa kuwalaumu wazungu juu ya kushindwa kwetu, wakati wanasiasa ndio chanzo.
Kama nchi Gani inawashirikisha walipa Kodi? Usiongee kama mbumbumbu
 
Yesu Kristo alipopakwa Mafuta ya gharama, Yuda Iskariot alisema, yangeuzwa pesa wapewe Masikini. Yeye aliwajibu Masikini mtabaki nao siku zote. Tanzania pia Masikini itabaki nao siku zote lakini lazima Jiji lipendeze.
 
Msaada kivipi,unataka kusema hatudaiwi hela yoyote hapo?
Hakuna hata mia,JK na Tzn tulipewa msaada na Korea Kusini baada ya Tzn kupitia JK akiwa Waziri wa mambo ya Nje na baadae Rais kumuunga mkono Ban Ki Moon Wakati wa kampeni za kuwania kuwa UN General Secretary.

Tzn imechangia kama 15% na Korea 85%
 
Wazo lako ni zuri sana ila acha kuingiza uchama kwenye maendeleo off course pia hata kwenye maji wangeweza peleka huko vijijini

Lile Daraja naimani IPO siku utapita wewe ama ndugu Yako.
Achana nao hao. Lini waliishawahi kupongeza? Serikali ingejenga hivyo vituo vya afya, angelalamika pia.
 
Tumepewa daraja la bure napo mnalialia? Kusanya makamanda mwende mkalivunje.
 
Kamanda Asiyechoka haikutakiwa uchoke kufatilia kujua daraja hilo limejengwa kwa msaada wa S.Korea na walielekeza msaada huo kwenye mradi huo na si vinginevyo
Serikali ingeweza kushauriana na mtoa msaada ili kuweka vipaumbele mbele. Mfano mzuri ni wakati wa Ujenzi wa kiwanda cha Cement cha Mbeya, mtoa msaada alitaka kujenga kile kiwanda pale pale Wazo, Serikali chini ya Mwalimu ikasimama kidete mpaka kile kiwanda kikajengwa Mbeya na sababu za kiuchumi zilitolewa ambazo ukanda ule unafaidi leo hii. Tunahitaji Focused Leadership!
 
Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.

Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya. Sasa tungejenga kituo cha afya cha Bil mbili kwa hiyo Bil 243 tungepata vito vya afya kibao.

Hili daraja ni kwa ajili ya vibosile wa CCM ili wapate shortcut kufika Masaki na Oysterbay kwa urahisi. Hii ni Nonsense kabisa.
Kwenye hili naunga mkono hoja, kuna changamoto nyingi sana za kimiundombinu DAR hasa linapokuja suala la mvua. Unfortunately badala ya kuimarisha miundo mbinu hasa maeneo yanayoathirika na mafuko linajengwa daraja la kuwawahisha majumban viongoz
 
Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.
Kamanda susa kulitumia mpaka huduma za afya zitakapoimarishwa nchi nzima. Hawa viongozi wa serikali naona hawakujui kuwa wewe hupendi ujinga.
 
Serikali ingeweza kushauriana na mtoa msaada ili kuweka vipaumbele mbele. Mfano mzuri ni wakati wa Ujenzi wa kiwanda cha Cement cha Mbeya, mtoa msaada alitaka kujenga kile kiwanda pale pale Wazo, Serikali chini ya Mwalimu ikasimama kidete mpaka kile kiwanda kikajengwa Mbeya na sababu za kiuchumi zilitolewa ambazo ukanda ule unafaidi leo hii. Tunahitaji Focused Leadership!
ushauri na kukubaliwa ushauri ni vitu viwili tofauti,sio kila ushauri unaweza kukubaliwa inategemea aliyekupa msaada pia amelenga nini na pia kuna wakati ukijifanya mjuaji sana unaweza kukosa vyote
 
Hao viongozi wa CCM nao ni Watanzania, acha wapelekewe maendeleo.
 
Back
Top Bottom