madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Huo ni umasikini wewe kila kitu kinaumuhimuUnajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.
Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya. Sasa tungejenga kituo cha afya cha Bil mbili kwa hiyo Bil 243 tungepata vito vya afya kibao.
Hili daraja ni kwa ajili ya vibosile wa CCM ili wapate shortcut kufika Masaki no Oysterbay kwa urahisi. Hii ni Nonsense kabisa.
Viongozi hawezi kujali mambo ya vipaumbele kama wananchi wamezubaa na wako wako tu. Wajali kwa sababu gani hasa? Wao na familia zao wanapata kila wanachotaka na kusaza. Bila sisi wananchi unyumbu na kuwa wakali hakuna kitakachobadilka.Tatizo kubwa tanzania hatuna vipaombele yaana miradi mingi inajengwa kutokana na nguvu ya wabunge wa upande huo kudai huduma serikali haina mipango ya kutatua zile kero haswaa za wananchi. Na wanaacha makusudi ili waombee kura uchaguzini
Unadhani hata wewe usipojinunulia viatu Vizuri ndio Umasikini utaisha kwenu?Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.
Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya. Sasa tungejenga kituo cha afya cha Bil mbili kwa hiyo Bil 243 tungepata vito vya afya kibao.
Hili daraja ni kwa ajili ya vibosile wa CCM ili wapate shortcut kufika Masaki no Oysterbay kwa urahisi. Hii ni Nonsense kabisa.
Kama nchi Gani inawashirikisha walipa Kodi? Usiongee kama mbumbumbuNchi haina vipaumbele, walipa kodi awashirikishwi juu ya matumizi ya kodi zao.
Matrekta ni muhimu kuliko ndege na yanazalisha uchumi mkubwa kuliko ndege ,yanarudisha pesa haraka kuliko ndege.
Soko kubwa lipo China lima, peleka chochote kule.
Kutwa kuwalaumu wazungu juu ya kushindwa kwetu, wakati wanasiasa ndio chanzo.
Msaada kivipi,unataka kusema hatudaiwi hela yoyote hapo?Msaada wa S.Korea so huwezi wapangia unless gvt ndio ilichagua huo mradi.
Hakuna hata mia,JK na Tzn tulipewa msaada na Korea Kusini baada ya Tzn kupitia JK akiwa Waziri wa mambo ya Nje na baadae Rais kumuunga mkono Ban Ki Moon Wakati wa kampeni za kuwania kuwa UN General Secretary.Msaada kivipi,unataka kusema hatudaiwi hela yoyote hapo?
Kwani viongozi sio watanzania? Na pia watapita viongozi peke yake?Yaani kipaumbele kupunguza foleni ya viongezi ni muhimu kuliko afya ya wananchi? Pole sana.
Achana nao hao. Lini waliishawahi kupongeza? Serikali ingejenga hivyo vituo vya afya, angelalamika pia.Wazo lako ni zuri sana ila acha kuingiza uchama kwenye maendeleo off course pia hata kwenye maji wangeweza peleka huko vijijini
Lile Daraja naimani IPO siku utapita wewe ama ndugu Yako.
Usibishe usicho kijua kama ni mnufaika kula taratibu.Kama nchi Gani inawashirikisha walipa Kodi? Usiongee kama mbumbumbu
Serikali ingeweza kushauriana na mtoa msaada ili kuweka vipaumbele mbele. Mfano mzuri ni wakati wa Ujenzi wa kiwanda cha Cement cha Mbeya, mtoa msaada alitaka kujenga kile kiwanda pale pale Wazo, Serikali chini ya Mwalimu ikasimama kidete mpaka kile kiwanda kikajengwa Mbeya na sababu za kiuchumi zilitolewa ambazo ukanda ule unafaidi leo hii. Tunahitaji Focused Leadership!Kamanda Asiyechoka haikutakiwa uchoke kufatilia kujua daraja hilo limejengwa kwa msaada wa S.Korea na walielekeza msaada huo kwenye mradi huo na si vinginevyo
Kwenye hili naunga mkono hoja, kuna changamoto nyingi sana za kimiundombinu DAR hasa linapokuja suala la mvua. Unfortunately badala ya kuimarisha miundo mbinu hasa maeneo yanayoathirika na mafuko linajengwa daraja la kuwawahisha majumban viongozUnajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.
Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini wanatembea umbali mrefu kutafuta huduma za afya. Sasa tungejenga kituo cha afya cha Bil mbili kwa hiyo Bil 243 tungepata vito vya afya kibao.
Hili daraja ni kwa ajili ya vibosile wa CCM ili wapate shortcut kufika Masaki na Oysterbay kwa urahisi. Hii ni Nonsense kabisa.
Kamanda susa kulitumia mpaka huduma za afya zitakapoimarishwa nchi nzima. Hawa viongozi wa serikali naona hawakujui kuwa wewe hupendi ujinga.Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa.
ushauri na kukubaliwa ushauri ni vitu viwili tofauti,sio kila ushauri unaweza kukubaliwa inategemea aliyekupa msaada pia amelenga nini na pia kuna wakati ukijifanya mjuaji sana unaweza kukosa vyoteSerikali ingeweza kushauriana na mtoa msaada ili kuweka vipaumbele mbele. Mfano mzuri ni wakati wa Ujenzi wa kiwanda cha Cement cha Mbeya, mtoa msaada alitaka kujenga kile kiwanda pale pale Wazo, Serikali chini ya Mwalimu ikasimama kidete mpaka kile kiwanda kikajengwa Mbeya na sababu za kiuchumi zilitolewa ambazo ukanda ule unafaidi leo hii. Tunahitaji Focused Leadership!
walitoa msaada wa pesa za kujenga darajaWalitoa msaada wa pesa au daraja?