Daraja la Ukraine lashambuliwa tena na drones za Ukraine

Kubwa jinga once again,,,,
 
Kamsikilize mnywa gongo Medvedev alichosema wakati vita imekolea utajua Putin alikusudia nini,lakini msikilize Putin mwenyewe wakati anajifananisha na peter the great utajua pia.
Weka hapa hayo malengo ya Putin na sio kubwabwaja!
 
Ameweka masharti mawili, la kwanza na yeye ngano yake inunuliwe na bank zake zirudishwe kwenye mfumo wa SWIFT. Mbona tuliambiwa vikwazo havimsumbui Mrusi?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kamsikilize mnywa gongo Medvedev alichosema wakati vita imekolea utajua Putin alikusudia nini,lakini msikilize Putin mwenyewe wakati anajifananisha na peter the great utajua pia.
Weka hapa link tuone hayo malengo ya Putin na sio kupigapiga ramli hapa!
 
Nani kakuambia hilo lengo?lengo la putin ilikuwa kuwaokoa warusi kwenye mikoa yaliyokuwa ya Ukraine na ameweza kuyachukua yale mikoa na sasa hivi Ukraine wanawatamanisha wachukue Odessa pia
Hao Warusi ndio walikuwa wanaenda kuokolewa na vifaru kutoka Kyiv?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Ameweka masharti mawili, la kwanza na yeye ngano yake inunuliwe na bank zake zirudishwe kwenye mfumo wa SWIFT. Mbona tuliambiwa vikwazo havimsumbui Mrusi?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Usiweke upotoshaji!
Russia kakazia maeneo ya Bank ya kilimo ndio irudishwe swift na sanctions kwenye vessels zinazobeba mazao za Urusi ziondolewe!
Ila wachambuzi wanasema hii ni kutafuta sababu tu kwa Russia kwani mauzo ya Russia kwenye grains na fertilizers yaliongezeka maradufu baada ya uvamizi kulinganisha na kabla!
Hapo kuna kitu hakijawekwa wazi!Yawezekana kuna kitu zaidi Russia anataka!
 
Tafuta mkuu,kila kitu kipo mtandaoni.
Mimi nakutajia malengo ya Russia ambayo yalitamkwa hadharani na boldly!Hayo mengine mnayotunga mtueleze mmeyapata wapi!
1.Demilitalization
2.Denazification
3.Liberation of the Donbass region(Luhansk & Donensk)!
 
Vingine ukitumia akili tu ya kawaida utapata majibu, yani awekewa vikwazo kwenye agro business hasa soko la Ulaya afu Ulaya faida izidi? hebu tuambie hilo soko jipya linalozidi la Ulaya?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nakutajia malengo ya Russia ambayo yalitamkwa hadharani na boldly!Hayo mengine mnayotunga mtueleze mmeyapata wapi!
1.Demilitalization
2.Denazification
3.Liberation of the Donbass region(Luhansk & Donensk)!
Kwa sasa Ukraine ana silaha hatari zaidi ya alizokuwa nazo kabla ya vita.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…