Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Kwahiyo unapiga ramli tu na hujui chochote!Na wewe tuambie umeyajuaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unapiga ramli tu na hujui chochote!Na wewe tuambie umeyajuaje
Kamsikilize mnywa gongo Medvedev alichosema wakati vita imekolea utajua Putin alikusudia nini,lakini msikilize Putin mwenyewe wakati anajifananisha na peter the great utajua pia.Tuambie hayo malengo wewe umeyajuaje?
Kamsikilize mnywa gongo Medvedev alichosema wakati vita imekolea utajua Putin alikusudia nini,lakini msikilize Putin mwenyewe wakati anajifananisha na peter the great utajua pia.Kwahiyo unapiga ramli tu na hujui chochote!
Kubwa jinga once again,,,,Hii daraja muhimu sana kwa Urusi, ndio limeunganisha Urusi na Crimea.....
Urusi iligharamikia sana kutengeneza na kurekebisha hili daraja, yaani kulipiga ni kama umepiga moyo wa Putin...
Kyiv’s navy and Ukraine’s security service (SBU) carried out a “special operation” using seaborne drones, an SBU source has told AFP.
Waterborne drones struck the sole bridge connecting Russia to the annexed Crimea peninsula on Monday, a major conduit for Russia’s troops in Ukraine, in a deadly attack which is said to have killed a civilian couple and injured their daughter.
The explosion hit the Kerch Bridge just hours before a crucial deal to export Ukrainian grain was to expire. There has not yet been word from talks in Istanbul, where Turkish and UN officials were trying to persuade Russia to agree another extension of the deal that was first signed there in July 2022.
![]()
Putin says Russia preparing response to Crimea bridge attack; US condemns Moscow grain deal exit – as it happened
Russian president calls attack ‘cruel and senseless’ after Kerch Bridge hit by latest strike; Antony Blinken says Russia exit from deal ‘unconscionable’www.theguardian.com
Weka hapa hayo malengo ya Putin na sio kubwabwaja!Kamsikilize mnywa gongo Medvedev alichosema wakati vita imekolea utajua Putin alikusudia nini,lakini msikilize Putin mwenyewe wakati anajifananisha na peter the great utajua pia.
Ameweka masharti mawili, la kwanza na yeye ngano yake inunuliwe na bank zake zirudishwe kwenye mfumo wa SWIFT. Mbona tuliambiwa vikwazo havimsumbui Mrusi?Kutokana na kulipuliwa Kwa daraja, Putin amesusa kusambaza ngano
Mytake:Kama Putin anatumia daraja kupitisha silaha ili kushambulia Ukraine kwanini lisilengwe?
+
++Ikulu ya Urusi Kremlin imesema hii leo kuwa inajiondoa kwenye makubaliano ya usafirishaji nafaka za Ukraine kupitia Bahari Nyeusi, saa chache baada ya ndege zisizo na rubani kushambulia daraja la Kerch ambalo ndilo pekee linaloiunganisha Urusi na Rasi ya Crimea. Makubaliano hayo muhimu ambayo kwa mwaka jana pekee yalisaidia kusafirishwa kwa shehena ya tani milioni 32 za nafaka, yalifikiwa ili kupunguza hofu ya uhaba wa chakula duniani hasa katika nchi zilizo hatarini zaidi. Ni zipi athari za uamuzi huu hususan kwa mataifa ya Afrika?
+++Umoja wa Ulaya hii leo umekutana na viongozi wa Amerika ya Kusini na visiwa vya Karibiki, huku wakiwa na matumaini ya kurejesha upya uhusiano ulioingia doa kufuatia mgawanyiko mkubwa juu ya biashara na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Kwenye mazungumzo yao, Umoja wa Ulaya umeashiria kufanya uwekezaji mkubwa kwenye mataifa ya kanda hizo kwenye miradi mbalimbali.
Source: DW Kiswahili
Weka hapa link tuone hayo malengo ya Putin na sio kupigapiga ramli hapa!Kamsikilize mnywa gongo Medvedev alichosema wakati vita imekolea utajua Putin alikusudia nini,lakini msikilize Putin mwenyewe wakati anajifananisha na peter the great utajua pia.
Hao Warusi ndio walikuwa wanaenda kuokolewa na vifaru kutoka Kyiv?Nani kakuambia hilo lengo?lengo la putin ilikuwa kuwaokoa warusi kwenye mikoa yaliyokuwa ya Ukraine na ameweza kuyachukua yale mikoa na sasa hivi Ukraine wanawatamanisha wachukue Odessa pia
Usiweke upotoshaji!Ameweka masharti mawili, la kwanza na yeye ngano yake inunuliwe na bank zake zirudishwe kwenye mfumo wa SWIFT. Mbona tuliambiwa vikwazo havimsumbui Mrusi?
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Sina muda wa kutafutia watu wazima taarifa wanazoweza kupata.Weka hapa hayo malengo ya Putin na sio kubwabwaja!
Tafuta mkuu,kila kitu kipo mtandaoni.Weka hapa link tuone hayo malengo ya Putin na sio kupigapiga ramli hapa!
Hahahaaaaaaa!Sina muda wa kutafutia watu wazima taarifa wanazoweza kupata.
Its just matter of time mkuuKuna siku tutaamka na habari isemayo..
MAKAZI YA PUTINI YASHAMBULIWA
Kwanini iwe kwa Putin na sio kwa Zelensky mkuuHii vita imeshakuwa nightmare kwa Putin.Yeye alichukulia ingekuwa rahisi naona inamtokea puani[emoji848]
Mimi nakutajia malengo ya Russia ambayo yalitamkwa hadharani na boldly!Hayo mengine mnayotunga mtueleze mmeyapata wapi!Tafuta mkuu,kila kitu kipo mtandaoni.
Vingine ukitumia akili tu ya kawaida utapata majibu, yani awekewa vikwazo kwenye agro business hasa soko la Ulaya afu Ulaya faida izidi? hebu tuambie hilo soko jipya linalozidi la Ulaya?Usiweke upotoshaji!
Russia kakazia maeneo ya Bank ya kilimo ndio irudishwe swift na sanctions kwenye vessels zinazobeba mazao za Urusi ziondolewe!
Ila wachambuzi wanasema hii ni kutafuta sababu tu kwa Russia kwani mauzo ya Russia kwenye grains na fertilizers yaliongezeka maradufu baada ya uvamizi kulinganisha na kabla!
Hapo kuna kitu hakijawekwa wazi!Yawezekana kuna kitu zaidi Russia anataka!
Kwa sasa Ukraine ana silaha hatari zaidi ya alizokuwa nazo kabla ya vita.Mimi nakutajia malengo ya Russia ambayo yalitamkwa hadharani na boldly!Hayo mengine mnayotunga mtueleze mmeyapata wapi!
1.Demilitalization
2.Denazification
3.Liberation of the Donbass region(Luhansk & Donensk)!
Muda utasemaIts just matter of time mkuu