passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,192
- 11,897
Tumia akili maeneo nyeti kama ikulu au bunge hayashambuliwi ovyoovyo.kila siku urusi anasema anashambuliwa maeneo yenye shughuli za kijeshi.[emoji23] [emoji23] hv akili mmeacha wap ? mtu analipua kila sehem ashindwe lipua bunge ? Asubir mpk ashambuliwe
Mpaka sasa hivi Ukraine haina nguvu za kijeshi wanasaidiwa na nchi za NATO na ulaya.bila NATO Ukraine hamna kitu.demilitisation imeshafanya kazi.Mmebadili kauli ya demilitisation had kusema Ukraine haez shinda zenu ni majib tosha kuwa Urusi hali si nzur
Katafiti habari zipoAlianza shambulia Kyiev lin ? Na aliombwa lin?
Tumsaidie tu!Katafiti habari zipo
Hivyo vitendo akifanya na akifanyiwa asiseme ni ugaidi na nyinyi huku mkifurahia kauli hiyo.Halalamiki anafanya vitendo tu
hahaa hv unajitia ukichaa kusema hujaona makaz ya watu , hospital , masoko na viwanja vya michezo vikilipuliwa?Tumia akili maeneo nyeti kama ikulu au bunge hayashambuliwi ovyoovyo.kila siku urusi anasema anashambuliwa maeneo yenye shughuli za kijeshi.
Acha upumbav ww , swali ni jepesiKatafiti habari zipo
Somen hiyo link yenu vzr na muelew swali lang , kauli ni ya lin na Urusi kavamia Ukraine lin ? Alishindwa au hakutaka kwa siku zote za uvamiz wake mpk alipoombwa na Wazir mkuu wa Israel ? Je Urusi leo anamuheshim wazir mkuu wa Israel kuliko uhai wa raia wa Ukraine wenye nchi yao ? Achen kuunda mazingira ya kumtetea gaidi PutinTumsaidie tu!
Putin promised not to kill Zelensky: Ex-Israeli PM - Al Jazeera
Umepanic ndugu,relax!Somen hiyo link yenu vzr na muelew swali lang , kauli ni ya lin na Urusi kavamia Ukraine lin ? Alishindwa au hakutaka kwa siku zote za uvamiz wake mpk alipoombwa na Wazir mkuu wa Israel ? Je Urusi leo anamuheshim wazir mkuu wa Israel kuliko uhai wa raia wa Ukraine wenye nchi yao ? Achen kuunda mazingira ya kumtetea gaidi Putin
Hiyo heading sasaHii daraja muhimu sana kwa Urusi, ndio limeunganisha Urusi na Crimea.....
Urusi iligharamikia sana kutengeneza na kurekebisha hili daraja, yaani kulipiga ni kama umepiga moyo wa Putin...
Kyiv’s navy and Ukraine’s security service (SBU) carried out a “special operation” using seaborne drones, an SBU source has told AFP.
Waterborne drones struck the sole bridge connecting Russia to the annexed Crimea peninsula on Monday, a major conduit for Russia’s troops in Ukraine, in a deadly attack which is said to have killed a civilian couple and injured their daughter.
The explosion hit the Kerch Bridge just hours before a crucial deal to export Ukrainian grain was to expire. There has not yet been word from talks in Istanbul, where Turkish and UN officials were trying to persuade Russia to agree another extension of the deal that was first signed there in July 2022.
Putin says Russia preparing response to Crimea bridge attack; US condemns Moscow grain deal exit – as it happened
Russian president calls attack ‘cruel and senseless’ after Kerch Bridge hit by latest strike; Antony Blinken says Russia exit from deal ‘unconscionable’www.theguardian.com