Daraja la Ukraine lashambuliwa tena na drones za Ukraine

Daraja la Ukraine lashambuliwa tena na drones za Ukraine

[emoji23] [emoji23] hv akili mmeacha wap ? mtu analipua kila sehem ashindwe lipua bunge ? Asubir mpk ashambuliwe
Tumia akili maeneo nyeti kama ikulu au bunge hayashambuliwi ovyoovyo.kila siku urusi anasema anashambuliwa maeneo yenye shughuli za kijeshi.
 
Mmebadili kauli ya demilitisation had kusema Ukraine haez shinda zenu ni majib tosha kuwa Urusi hali si nzur
Mpaka sasa hivi Ukraine haina nguvu za kijeshi wanasaidiwa na nchi za NATO na ulaya.bila NATO Ukraine hamna kitu.demilitisation imeshafanya kazi.
 
Tumia akili maeneo nyeti kama ikulu au bunge hayashambuliwi ovyoovyo.kila siku urusi anasema anashambuliwa maeneo yenye shughuli za kijeshi.
hahaa hv unajitia ukichaa kusema hujaona makaz ya watu , hospital , masoko na viwanja vya michezo vikilipuliwa?
 
Somen hiyo link yenu vzr na muelew swali lang , kauli ni ya lin na Urusi kavamia Ukraine lin ? Alishindwa au hakutaka kwa siku zote za uvamiz wake mpk alipoombwa na Wazir mkuu wa Israel ? Je Urusi leo anamuheshim wazir mkuu wa Israel kuliko uhai wa raia wa Ukraine wenye nchi yao ? Achen kuunda mazingira ya kumtetea gaidi Putin
 
Umepanic ndugu,relax!
 
Hii daraja muhimu sana kwa Urusi, ndio limeunganisha Urusi na Crimea.....
Urusi iligharamikia sana kutengeneza na kurekebisha hili daraja, yaani kulipiga ni kama umepiga moyo wa Putin...

Kyiv’s navy and Ukraine’s security service (SBU) carried out a “special operation” using seaborne drones, an SBU source has told AFP.

Waterborne drones struck the sole bridge connecting Russia to the annexed Crimea peninsula on Monday, a major conduit for Russia’s troops in Ukraine, in a deadly attack which is said to have killed a civilian couple and injured their daughter.

The explosion hit the Kerch Bridge just hours before a crucial deal to export Ukrainian grain was to expire. There has not yet been word from talks in Istanbul, where Turkish and UN officials were trying to persuade Russia to agree another extension of the deal that was first signed there in July 2022.
Hiyo heading sasa
 
Back
Top Bottom