Tetesi: Darasa kafungiwa na ndugu zake

Team Darasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu anayetumia unga ni mpumbavu, so wangemwacha afe na upumbavu wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Umewahi jiuliza kwa nini watu hujinyonga?

Katika mitaa tuishiyo mtu akijinyonga watu wote huwa na simanzi na kutoamini why huyo mtu ajinyonge , lakini hautapita muda hata yule aliyelaumu mno tukio la awali naye kajinyonga.

It looks like kuna nguvu hasi humwingia mtu ili kujifanyia jambo baya la kujidhuru mwenyewe, hivyo basi ni vyema kumfariji aliyepatwa na shida yoyote katika jamii ili kuweza kumuokoa.

Unayemkaripia , kumsimanga na kumnyanyasa huenda kabakiza nusu saa kuona hamna jinsi na suluhisho pekee ni kujinyonga au kujiingiza katika tabia hatarishi kama ulevi wa pombe na madawa ya kulevya...!

Tuweni na upendo Jamani


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli. Addiction zipo za aina nyingi. Lakini kuna zenye nafuu na kuna mbaya! Huwezi kumfananisha mwenye addiction ya madawa ya kulevya na mwenye addiction ya nyama choma!
 
Maisha ni Matokeo ya Majumuisho ya Machaguo yako na Matendo yako.

Mwamuzi wa Maisha ni wewe Mwenyewe.


Also


Happiness is a choice

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sisy, this thing you talking about is very debatable.

Personally, I am of the view that ADDICTION ya nonrestrictive things is less destructive, unlike the Drugs Addiction!

Mfano: huwezi kufananisha the downsides of drugs addiction na downsides of water addiction or sex addiction.

Mwisho wa picha 'DRUGS ADDICTION' is always fatal !

-Kaveli-
 

my young bro..

what I was trying to show,

is everyone has his/her own battle to fight....

unaweza kusema food addiction is not soo problematic...

but ukipata mtu yuko kitandani na stroke

utaona drug addiction sio mbaya kiviile

is how you see it...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…