NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Fidq Je
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Mlundi [HASHTAG]#MUZIKI[/HASHTAG] inajipromot yenyewe hata wale baba zenu mawingu wamebaki mdomo waziNaona wiki hii yote, kiki kwa darasa tu! Haya twende!
Wachafu utawajua tuHawawezi kukuelewa kumfananisha joh na Darasa ni kumvunjia heshima john
Hivi nae ni mtoto wa dangote yule billionair?Obvious ni Chibu Dangote
Hivi huyo Ney ndio nani?Ni kawaida ya wasanii kupokezana vijiti yani kutesa kwa zamu.
Kama ilivyokuwa game ya video ilikuwa ya Adam Juma na sasa kamuachia Hanscana... Marco Chali kamwachia Nah real kwenye audio production... Jide kamwachia Vanessa Mdee kwenye rnb....Majuto alivyomwachia Joti kwenye comedy... Chidi Beenz alivyomwachia Nay kwenye game ya rap.... Ndio hivyo na sasa Nay wa Mitego kamwachia kijiti msela kutoka Kiwalani wakuitwa Darasa.
Kwa sasa game ya rap ni ya Darasa... Darasa ndio game ya rap ndani ya Bongo.
nadhani huyu mtu bila kinyongo ni "top" wa NAIJA FLAVA ila bongo flava.. mmhhh.. kwake ilishakufaga ye na watoto wakeObvious ni Chibu Dangote