Darasa kapokea kijiti cha Nay wa Mitego

Darasa kapokea kijiti cha Nay wa Mitego

Ni kawaida ya wasanii kupokezana vijiti yani kutesa kwa zamu.

Kama ilivyokuwa game ya video ilikuwa ya Adam Juma na sasa kamuachia Hanscana... Marco Chali kamwachia Nah real kwenye audio production... Jide kamwachia Vanessa Mdee kwenye rnb....Majuto alivyomwachia Joti kwenye comedy... Chidi Beenz alivyomwachia Nay kwenye game ya rap.... Ndio hivyo na sasa Nay wa Mitego kamwachia kijiti msela kutoka Kiwalani wakuitwa Darasa.


Kwa sasa game ya rap ni ya Darasa... Darasa ndio game ya rap ndani ya Bongo.
Hivi huyo Ney ndio nani?
 
Back
Top Bottom