Darasa la kupigilia pamba kijanja

Unakuta Mtu kavaa suruali ya kitambaa cha mistari ina marinda na shati la mistari unaweza hisi umepishana na zebra! Plus anakuwa amevaa tie fulani Hivi vipana vifupi vibayaaaa bado awe na Afro lisiloeleweka na mkuki moyoni!
 
Shati bluu
Suruali njano
Sox kijani
Mkanda mweusi
Tai zambarau

Lazima ucheke
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Tukiwa chuo waliokuwa wanavaa hivo tulikuwa tunawaita kachumbari flavour
 
Unakuta Mtu kavaa suruali ya kitambaa cha mistari ina marinda na shati la mistari unaweza hisi umepishana na zebra! Plus anakuwa amevaa tie fulani Hivi vipana vifupi vibayaaaa bado awe na Afro lisiloeleweka na mkuki moyoni!
Mbona inachekesha....
 
Kwa wanaume kwasasa,kuondoa mlolongo mrefu na kuumiza kichwa,vaa suruali ya kadet na tshirt ya form six au shati la jeans au shati la kawaida(ni vizuri kama ni shati uchomekee) ..hii unaingia popote,ofisini,biashara, kitaa,sherehe,baa na unaonekana ni mtu na heshima yako,na mtu hawezi kukujudge status yako..classic!
 
Umetisha......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…