Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Waliambiwa na marehemu wafyatue haswaHii spidi za kuzaana Kama mbwa hatutakaa tusonge mbele… 4 years back shule za kata zilizidi kuwa nyingi kuliko idadi ya wanaohitajika Leo itabidi tuongeze hizo shule zaidi ya zilizopo!
Serikali itakua inacheza kushoto kulia kila siku kazi ipo!
Watanzania wanazaliana Kama mchwa maendeleo itakua ni ndoto!
Hakuna namna elimu si bureNi Mara mbili ya population ya Denmark inayoisaidia Tanzania…
Tufanyeje wakati ndio kazi wabongo wanaiweza
Mbona rahisi tu kwa hao 600,000Leo Wanafunzi 1.1million wa Shule za Misingi Wanafanya Mitihani yao ya Kumaliza Elimu ya Msingi.
Kati ya Hao Wanafunzi 500,000 Wanatarajiwa kuchaguliwa Kuendelea na Masomo ya SEKONDARI.Je Wanafunzi Waliobaki yaani 600,000 mini HATIMA yao?
Je SERIKALI ina Mipango gani kwa Hao Wanafunzi?
Au Mzigo ni WA WAZAZI husika?
Au Ndio MACHINGA,BODABODA na WAPIGA DEBE kwenye STENDI za MABASI?
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Amina Mungu asikie hitaji lako mkuuNamuombea kijana wangu, pamoja na watoto wote. Mungu awafanyie wepesi
hata kama ada ingekuwepo ya shilingi 100,000/- kwa shule ya kata bado isingetosha kugharamia elimu bado hata kwa kiwango hicho elimu ni bure.Wewe unataka uzae hovyo Serikali halafu serikali ihudumie wanao? Kwanza hii elimu bure ni ujinga mtupu, zilikuwa cheap politics za Jiwe hizi, elimu bure inakuja kutengeneza wanafunzi wa ajabu sana mbele ya safari, maana sidhani kama hela wanayotoa serikali inatimiliza mahitaji yote muhimu kwa shule zote TZ
Una point mzee, lakini lazima kuwe na sense ya responsibility kwa wazazi, huyo mzazi unayesema anashindwa kulipa 20k unaweza kumkuta kila siku yupo kilabuni anakunywa pombe na kununulia wanawake nyama choma!!ha
hata kama ada ingekuwepo ya shilingi 100,000/- kwa shule ya kata bado isingetosha kugharamia elimu bado hata kwa kiwango hicho elimu ni bure.
ni kweli inaweza kuwa ni cheap politics lakini hujakutana na vijana wenye akili wamefauru shule vipaji maalum wameshindwa kwenda shule kwa ajiri ya shillingi 35,000 ya ada au 20,000 ya ada.
au hujakutana na familia inaenda kumpa mbunge mbuzi kama shukrani kwa kumlipia ada mtoto wao kwa kuwa kipindi hicho hawakuwa na ada.(sio wakauze mbuzi wapate ada hapana ni kumpa mbunge na kumfanya mbunge apate mbuzi wa 60,000 kwa 20,000)
hujakutana na mbunge anahesabu kura zaidi ya 3000 kwa kuwalipia wanafunzi 20,000 wanafunzi ada akitumia 20,000,000/- kwa mwaka
sasa kivuli chote hiki kiliondoka
Atakua ni msukuma huyuUmegeuza matokeo?
Tunatimiza wajibu wetu.Watu wanafyatua, wanaomaliza la saba milioni moja?
Ulishawahi ugua malaria ya Kali??Chadema wengi darasa la saba
Unafahamu maana ya Technical schoolsMbona rahisi tu kwa hao 600,000
1. Kuna ambao watenda private schools
2. Kuna ambao wataendaa vyuo vya ufundi technical schools
3. Kuna ambao wata anza ujisiria mali immediately ili waje kuwaajiri wale laki tano
4
KabisaAtakua ni msukuma huyu
Unafahamu maana ya Technical schools
Mkuu hivi Ifunda Tech, Iyunga Tech au Moshi Tech unafahamu wanajifunza utumbo gani huko?
Acha kubwabwaja mkuu, Hakuna kitu kwenye hizo shule kabisa
Umejaa theory kichwani na unakariri mambo mkuu
Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
umenikumbusha mbali sana!Una point mzee, lakini lazima kuwe na sense ya responsibility kwa wazazi, huyo mzazi unayesema anashindwa kulipa 20k unaweza kumkuta kila siku yupo kilabuni anakunywa pombe na kununulia wanawake nyama choma!!