Brightman Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2009
- 1,224
- 234
kumbe na wewee umemaliza la sabawadau naomba kujua matokeo ya darasa la saba mwaka 2012 yatatoka lini? Maana tuliambiwa mwaka huu yatawahi kwasababu kazi ya usahihishaji ingefanywa na kompyuta! Naomba majibu wadau mnaofahamu hili.
kumbe na wewee umemaliza la saba
mkuu kivipi?mkuu umenichekesha haswa.
Mdau kaweka hoja nzuri tu. Kuuliza matokeo hayo si lazima awe darasa la saba na hata kama ni darasa la saba kwani tatizo nini. Hata hao maprofessor wana vyeti vya darasa la saba! Acheni dharau.
bado wako kwenye selection wiki hii walikuwa wana tembelea mashule kukagua majengo ili kila Shule ipewe wanafunzi kulingana na uwezo wake by j5 nahisi watakuwa tayari
Mdau kaweka hoja nzuri tu. Kuuliza matokeo hayo si lazima awe darasa la saba na hata kama ni darasa la saba kwani tatizo nini. Hata hao maprofessor wana vyeti vya darasa la saba! Acheni dharau.
komputa gani zinaweza kusahihisha mitihani?
Hyo taarifa ya matokeo kuwahi ulipata kwa @mulugo?
komputa gani zinaweza kusahihisha mitihani?
mkuu kivipi?
ha ha ha ha heunda akawa amemaliza la saba huyu negemboumenichekesha uliposema kumbe na yeye amemaliza darasa la saba.
tayari selection wamemaliza! so they are going to expose it soon. tunajiandaa kupokea vilaza wengine...