tayari selection
wamemaliza! so they are going to expose it soon. tunajiandaa kupokea
vilaza wengine...
100% vilaza, kwa ule m gomo wa walimu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tayari selection
wamemaliza! so they are going to expose it soon. tunajiandaa kupokea
vilaza wengine...
Tunasubiri kuona wasiojua kusoma na kuandika maana maajabu ndiyo mfumo wetu wa maisha
ha ha ha ha heunda akawa amemaliza la saba huyu negembo
mkuu nilikuwa nakutania tuuAmekosea! Huyo SAMITI angeniuliza nina maanisha nini kuulizia matokeo hayo!
mkuu nilikuwa nakutania tuu
kumbe na wewee umemaliza la saba
Anaweza kuwa ana mtoto, ndugu au jamaa ambao wanasubiri matokeo hayo, si lazima yeye mwenyewe awe amemaliza darasa la sabakumbe na wewee umemaliza la saba
Kesho J3 matokeo yanatangazwa rasmi
kumbe na wewee umemaliza la saba
jifunze kuandika heading wewe
Unamshangaa aliyemaliza la saba kwani we hata la saba hujafika? upo la pili etikumbe na wewee umemaliza la saba
Mdau kaweka hoja nzuri tu. Kuuliza matokeo hayo si lazima awe darasa la saba na hata kama ni darasa la saba kwani tatizo nini. Hata hao maprofessor wana vyeti vya darasa la saba! Acheni dharau.