Imany John
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 2,935
- 1,185
aksante kwa taarifa,sijui form four itakuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa toka chanzo cha uhakika zimebainisha kuwa matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka huu ni mabaya kuliko wakati wowote katika kipindi cha muongo mmoja uliopita.
Matokeo ya mtihani huo uliofanyika kwa mara ya kwanza kwa njia ya ''KUSIRIBA'' yaani OMR yalitarajiwa kuwa yangetoka toka wiki iliyopita au mapema wiki hii Lakini kwa hali ilivyo imebidi kusubiri kwanza ili mamlaka zione cha kufanya.
Hali kama hii huenda pia ikayakumba matokeo ya kidato cha pili ambayo yanatarajiwa kutoka mapema mwakani ambapo kwa sasa mwanafunzi atakaekosa wastani wa jumla wa alama 30 atalazimika kurudia darasa kabla ya kuondolewa kabisa ikiwa atafeli kwa mara ya pili.
Tatizo nini? Ni hiyo technolojia ya kusiriba au hawakuelewa masomo?
Mie naona shule ya msingi ifutwe. ni kupoteza mda tu
Hili halina ubishi hasa form2 kwa alama 30 Za ufaulu.shuleni kwetu tunawatoto 397.naamini watafaulu watoto70-80.
Tusubiri yatoke ili tuweze kusema ambacho wengine tushakisema kwa muda sasa.
.......
Watakuja hapa na kabinti kamoja kwenye top ten ili ndo uwe mjadala , wasichana wanaweza .