VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
60 katika 250 sio dhaifu?Pass mark huwa ni ngapi? maana 60 sio dhaifu kiasi hicho!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
60 katika 250 sio dhaifu?Pass mark huwa ni ngapi? maana 60 sio dhaifu kiasi hicho!
Pass mark huwa ni ngapi? maana 60 sio dhaifu kiasi hicho!
kwetu ni kawaida tu hata huyu yuko 'A' level.
[TD="width: 6%, align: center"]S0298/0025[/TD]
[TD="width: 4%, align: center"]F[/TD]
[TD="width: 22%"] MWANAASHA JAKAYA KIKWETE
[/TD]
[TD="width: 6%, align: center"]27[/TD]
[TD="width: 4%, align: center"]IV[/TD]
[TD="width: 58%, align: center"]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-C LIT ENG-D BIO-C B/MATH-F COMM-F [/TD]
tena yuko marekani eti
Tena wazungu wanakamua tu tena kavu kavu mtoto wa kike wa rais wa Bongo.tena yuko marekani eti
60 katika masomo 5 yenye marks 50 @ 1 = 250.
mitihani yenyewe maswali yote ya kuchagua na inafanyika kwa kujaza OMR.
Mkuu usishangae sana, katika nchi yenye waziri wa Elimu Kiazi kama Mulugo na Rais Kilaza kama Kikwete haya mambo ni ya kawaida sana.pass mark huwa 100 wastani wa 20 kwa kila somo ambayo pia bado ni mbovu,hii ya 60 wastani kwa kila somo ni 12 kwa masomo 5,hii ni zaidi ya hatari
60/250*100=24%, tathimini mwenyewe mkuu!!Pass mark huwa ni ngapi? maana 60 sio dhaifu kiasi hicho!
Mkuu sio hivyo, siku hizi mtihani wa darasa la saba ni masomo matano(Hisabati, Kiswahili, English, Maarifa ya jamii, Sayansi)60/150*100=40%, tathimini mwenyewe mkuu!!
Mkuu samahani kwa usumbufu,nilishafanya marekebisho kwenye andiko langu namba 18,yaani kabla ya andiko lako namba 19!Mkuu sio hivyo, siku hizi mtihani wa darasa la saba ni masomo matano(Hisabati, Kiswahili, English, Maarifa ya jamii, Sayansi)
Hivyo ilipaswa iwe
60/250*100=24%
60/250*100=24%, tathimini mwenyewe mkuu!!
Mkuu usishangae sana, katika nchi yenye waziri wa Elimu Kiazi kama Mulugo na Rais Kilaza kama Kikwete haya mambo ni ya kawaida sana.
I thuoght it was 60/100.!60 katika 250 sio dhaifu?
Pass mark huwa ni ngapi? maana 60 sio dhaifu kiasi hicho!
sasa umeona umuhimu wa jamiiforums eh!?I thuoght it was 60/100.!
60 kati ya 250 mkuu...hapo mie nasema hapana.