TUKUTUKU
JF-Expert Member
- Sep 14, 2010
- 11,763
- 4,041
Ikitokea hivyo basi ujue kuna kasoro kwenye utunzi wa mitihani au watahiniwa hawakuelewa kabisa walichokuwa wanafundishwa kwa miaka saba!,ambayo kimsingi itakuwa janga la kitaifa!Swali: kama wa kwanza kapata 30%, nadhani 24% pays a lot!