Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NYIE NDIO WASOMI MLIO AMUA KUWA MACHAWA.Kinatoa Kwa sababu yupo Samia ila kabla ya hapo ilikuwa umaskini wa kutisha.
Rizki haina formula. Na kusoma sana sio kuwa na akili ya maisha. Kiufupi tuishi kwa kuheshimiana hakuna mjuzi wa maisha
😀😀Wako selective sana kwenye kazi,kazi ni kazi na hawajui kwamba lazima uanzie chini....... wanadhani ukigraduate tu unaanza na 1.5m salary,take home laki 8Yeah yaani wanajikuta smart kinoma na visurual vyao vya vitambaa
Una point lakini kibongo bongo elimu kama hela huna unaonekana kichaa tu.Haijalishi aliyesoma Kasoma tu hata kama alipoteza muda gani ndugu..
Jidanganye ndgu, sijui upo mkoa gani huo ila la saba wengi wameharibikiwa mno.Hao hao lasaba na elimu zenu za chuo hamuwawezi Kiuchumi
Ndio shuleBakhressa hajaenda shule.
Babake Mo hajaenda shule.
Mzee Nahdi wa Oilcom hajaenda shule.
Wote hao ni madrassa tu na mabilionea.
Kwa hiyo kuitaja Madrassa ndiyo udini?
Jidanganye ndgu, sijui upo mkoa gani huo ila la saba wengi wameharibikiwa mno.
Walevi wa pombe za kienyeji wengi ni hao la saba, sema sasa huwezi kuwagundua maana wengi wao wamezeeka mapema unaweza kusema ni wq mwaka 80 ila kwa mwenyeji anawafahamu.
Hakuna darasa la saba siku hizi, waliosoma vyuo wanajitafuta kwenye boda, umachinga, daladala etcKama umemaliza chuo na bado upo nyumba na Huu ni mwaka wa 10 ndio utajua kama tunadanganya watu
Wahitimu wanasubiri kuajiliwa na serikali na wakati wanaweza kujiajiri bali wana mawazo mgando
Acha uongo,ukiangalia ratio utagundua hao unaowasifia ni kiasi kidogo mno wamefanikiwa,wengi wao hali mbaya sana kuliko wasomi.
Hakuna darasa la saba siku hizi, waliosoma vyuo wanajitafuta kwenye boda, umachinga, daladala etc
Kwako wewe mafanikio unayatafsiri vipi?Acha uongo,ukiangalia ratio utagundua hao unaowasifia ni kiasi kidogo mno wamefanikiwa,wengi wao hali mbaya sana kuliko wasomi.
Kwako wewe mafanikio unayatafsiri vipi?
Maisha ya Mtanzania akiwa na uhakika wa kuingiza siku yake hiyo inamtosha kuonekana anajiweza maisha(naona hata serikali imelibariki hilo pale wanapotangaza kiasi kwa $) sasa kama huyo darasa la saba failure ana uwezo wa kuoa akalisha familia akajenga na kijumba chake huyo siyo mwenzako.
Wapo wasomi wanaingia 35 hawana walichofanya duniani siyo kuowa siyo mtoto zaidi wamekuwa lia lia kwa wazazi wao while wapo wasiosoma wanategemewa na wazazi wao kwa kila kitu.
Tukubali tukatae elimu ya kuta nne kwa Mtanzania haina msaada wowote ila ni msiba mzito (japo sisemi elimu haifai)