Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Katika idadi ya Watanzia wote (kwa mujibu wa sensa), jaribu kuangalia uwano kati ya waliosoma na wasiosoma kisha linganisha hali za maisha yao.Una point lakini kibongo bongo elimu kama hela huna unaonekana kichaa tu.
Wewe hela huna ulete kisomi kwenye vikao vya familia utaambiwa unataka kuanzisha vurugu na utakuwa unatengwa.
Wasiosoma kisha wakaishi maisha mazuri wapo ila ni wachache sana ikilinganisha na hao waliosoma.
Nenda katika level ya kidunia kisha niletee matajiri hata 10 duniani ambao hawana kisomo.