Darasa la saba wengi wanajiweza kiuchumi kuliko waliohitimu Chuo

Sasa hao wanachuo ndio wameharibikiwa kama haujui wanashinda maofic ya kubet wanatembea mpaka viatu vinaisha upande mmoja na wazungu wamewajulia wamewaongezea maofic ya kubet kibao mjazane humo mnanuka jasho
Aloo kumbe ni wewe, upuuzwe tu huna hoja..
 
Aloo kumbe ni wewe, upuuzwe tu huna hoja..

Kaa na ujinga wako na ndo mwenye elimu ya juu mnaopigwa bao na wahindi wanaokuja kuchukua fursa nchini kwenu
 
Mnachagua vibaya vya kusomea tatzo
Samahani kama nimekuelewa......Tanzania tuna maProfesa,hapan'shaka wao wamechagua vizuri vya kusomea.sasa nijuze kuna yupi ni tajiri?
 
Akíli za kimaskini hizi
 
Samahani kama nimekuelewa......Tanzania tuna maProfesa,hapan'shaka wao wamechagua vizuri vya kusomea.sasa nijuze kuna yupi ni tajiri?

Maprofesa ambao wananunulika
 
Mfano mzuri ni mbunge Msukuma. Ila darasa la Saba kwa "kuthubutu" katika utajiri anaweza kuliko msomi.
 
Acheni kutusemeni na degree kama ninaamka hasubuhi ninauwezo wakumuita pisi akaja geto nini kingine nataka ??
 
Mfano mzuri ni mbunge Msukuma. Ila darasa la Saba kwa "kuthubutu" katika utajiri anaweza kuliko msomi.

Sema jamaa amezidi mali zote zilee daah hakuna tegemez lingine analitegemea?
 
Prof. Adolf Mkenda njoo huku !!!
 
Unaotea au umefanya uchunguzi na upembuzi yakinifu?
 
Maisha ni sawa na kucheza mpira, darasa la saba amejiandaa vema kucheza. Mawazo yake yote ni namna ya kucheza, funga bao kwa namna yoyote hata kwa kumla mtu mtama wa kishua. Namalizia kwa kusema "life is a game".
 
Acheni kutusemeni na degree kama ninaamka hasubuhi ninauwezo wakumuita pisi akaja geto nini kingine nataka ??
Kwamba iyo pisi ikija ghetto unaimbia iyo username yako ya jf au??? jokes [emoji38][emoji38]
 
we kenge kaishi maisha yako. Unawajuaje waliomalia chuo km we hujafika chuo.
 
Mtoto wako atoke la saba, umpe course ya kiingereza kisha umuulize anataka kuwa nani na umfanye kuwa anachotaka?

Labda kama umpe auze duka, maana hata kwenye biashara kubwakubwa (makampuni) kunahitajika akili, ndiomaana hata hao mtajiri mnaosema hawakusoma, wametambua mkosa yao na wanalipa pesa ndefu kama ada ili watoto wao wasome.

Hilo toto lako likimaliza la saba, kisha litake kuwa Doctor,Engineer, Pharmacist au kazi nyingine za kitaalamu, hiyo course ya kiingereza itamsaidia nini.?

BALEHE INAKUSUMBUA WEWE, UKIKUA HATAKUJA NA MADA ZA KIPUMBAVU HIVI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…