Darasa Punguza ulevi

Darasa Punguza ulevi

single moja anaanza kulewa je akitoa double si ndo atingia kabisa ndani ya chupa za bia
 
Jna hapa Moshi kulikuwa na uzinduzi wa Club hapa town maeneo ya Kuringe, sasa cha kushangaza huyu bwana alilewa bwiii, kiasi kwamba hata shoo yenyewe haikuwa tam kivile. Sasa nakushauri punguza ulevi utakukwamisha.
Kabla sijacomment habari yoyote huwa naenda all content ya mtu aliyepost..we jamaa ni hater na habari yako imekaa kimipasho..kweli vijana wa muziki wa ujanja ujanja mnapenda fitna...Moshi nzima ubaki weye tu na hearsay zako au club nzima ndani ulikua weye?acha umbeya mtoto wa kiume kumshusha darasa sio kumpandisha diamond
 
Kunywa maji mwanangu
 
Fuatilia hiyo ID kama ilishawahi kupost habari kuhusu msanii yeyote, na kama unaona mimi nazingua basi sawa
 
Pombe mbaya jamani jamani. ..yeuwii. .
 
Fuatilia hiyo ID kama ilishawahi kupost habari kuhusu msanii yeyote, na kama unaona mimi nazingua basi sawa
Ah ah buraza post zako unatembea sana nyuzi za diamond..sisi wajuzi wa mabo tunasemaga una mahaba..yaaani kama ungekuwa refa tushakataa maamuzi yakoo
 
Kwani Darassa wazazi wake wako wapi? Hawawezi kumpa ushauri? Alikuwa anajishughulisha na nini kabla hajatoka kimziki?
 
Kabla hamjafahamu huwa anakunywa bia na analewa sasa mnampangiaje maisha?
 
Ah ah buraza post zako unatembea sana nyuzi za diamond..sisi wajuzi wa mabo tunasemaga una mahaba..yaaani kama ungekuwa refa tushakataa maamuzi yakoo

Leta post hata moja hapa au leta link mimi uzushi sipend.
 
Ulevi ni mbaya hasa ukisababisha kushindwa kutimiza wajibu wako.
Darasa anaonekana kabisa ni mwanji lakini sikudhani kama anaweza kunywa kufikia kushindwa kutimiza wajibu wake.
Nashukuru kwa kumwambia ukweli na huo ndio ushabiki wa kweli ikiwezekana ajitazame na kubadilika.

Najua Darasa anapendwa sana na wengine wanaweza wasikuamini kwakuwa wanampenda sana hata kama uliyo yasema ni ukweli lakini najua umetimiza wajibu wako.
Pengine wimbo wake umekuwa mkubwa sana hadi ameshindwa kuhimili kishindo cha wimbo wake.
Hapa ndio utajua umuhimu wa management....
Darasa kama kweli unakunywa hadi unashindwa kutimiza wajibun wako basi acha ulofa na ubadilike..huu ni wakati wako hakuna nafasi nyingine.
Nilimuona hamnazo alipoamua kwenda Geita kwa Harrier wakati gari hajajua kuendesha.Hela za ghafla mbaya sana mkuu unaweza kwenda kuulizia bei ya kichwa cha treni hivi hivi!
 
Back
Top Bottom