jumayu
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 653
- 375
Kwani kanu maanake nn, yaani babayao jubilee ni nani,Pia yeye aliuawa na Jubilee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kanu maanake nn, yaani babayao jubilee ni nani,Pia yeye aliuawa na Jubilee.
Aisee sema pole basiNa aletwe bongo atibiwe saikoloji kenya si salama na uruhusiwe uchunguzi huru wa kimataifa!
Watu wanazungumzia tabia ya wakenya kuuana kama wanyama, haijalishi ni jubilee au NASA, kwanini hamthamini maisha ya binadamu?Pia yeye aliuawa na Jubilee.
Kweli mkuu lakini cha kushangaza ni kwanini wakamuua Ouko badala ya Odinga ama Oginga.Kwani kanu maanake nn, yaani babayao jubilee ni nani,
Na mamaake je?Kwani kanu maanake nn, yaani babayao jubilee ni nani,
Well njaa ni namba nne hapo kaka!Hili ni jambo la kawaida sana kwa Kenya, hawajakosea kuiweka Kenya katika Kundi la failed states, Juzi wamemuua Kenyama yule Pandre kule kisumu baada ya kumkosoa Kenyatta kwa kuwauwa wajaluo, na hakuna hata mtu mmoja anayeongelea kifo chake, wakenya wamezoea kuuwana kama wanyama, Kenya means;
1)Tribalism
2)Corruption
3)Insecurity
Kama njaa ikiendelea for the next 3 years, nayo itaingizwa katika orodha hii