Dareva wa Naibu Jaji Mkuu apigwa risasi Kenya...

Dareva wa Naibu Jaji Mkuu apigwa risasi Kenya...

Lisu arudi chapu asije kushindwa kurudi bongo kikinuka huko
 
Salute,

Justice Philomena Mwilu's driver was shot off Ngong Road today, near the old Nairobi Women's Hospital. The DCJ was not in the car at the moment of the attack, and the attackers, who believed the driver to be dead by the time they left, took away with his official firearms, according to police reports.

Independent Reporters.
 
hawa wanatume huru Ya uchaguzi, aliyeipigania sasa haiamini, nasisi tunakimbilia huko kueleza ulimwengu matatizo yetu.
 
Maombi muhimu sana kwa wenzetu Wakenya wavuke salama kwenye hatua hii ngumu waliyokwama
Pia kuna lakujifunza kupitia marekebisho ya katiba zetu si kila kitu chaweza kuwa kizuri kwa uimalishaji wa demokrasia hasa kwa nchi changa kama hizi zetu
 
Wanaanza kukopi na kupest kutoka kwenye nchi yenye "amani na utulivu"
 
Huku wanakokwenda wanatafunana sana. Halafu kuna wanaofikiri wamejificha hawaonekani. Wanaua tu wenzao
 
22687763_145364549542698_8691492180814828510_n.jpg
 
Hili ni jambo la kawaida sana kwa Kenya, hawajakosea kuiweka Kenya katika Kundi la failed states, Juzi wamemuua Kenyama yule Pandre kule kisumu baada ya kumkosoa Kenyatta kwa kuwauwa wajaluo, na hakuna hata mtu mmoja anayeongelea kifo chake, wakenya wamezoea kuuwana kama wanyama, Kenya means;
1)Tribalism
2)Corruption
3)Insecurity

Kama njaa ikiendelea for the next 3 years, nayo itaingizwa katika orodha hii
Well njaa ni namba nne hapo kaka!
 
Back
Top Bottom