joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Leo UN wamesema takriban wakenya 5.5M wana njaa na hali itazidi kuwa mbaya kutokana na ukame wa muda mrefu na serikali kukumbwa na sintofahamu ya siasa za uchaguzi, inaonekana njaa nayo itashindikana kama yalivyoshindikana hayo mengine matatuWell njoo ni namba nne hapo kaka!