Dareva wa Naibu Jaji Mkuu apigwa risasi Kenya...

Dareva wa Naibu Jaji Mkuu apigwa risasi Kenya...

Well njoo ni namba nne hapo kaka!
Leo UN wamesema takriban wakenya 5.5M wana njaa na hali itazidi kuwa mbaya kutokana na ukame wa muda mrefu na serikali kukumbwa na sintofahamu ya siasa za uchaguzi, inaonekana njaa nayo itashindikana kama yalivyoshindikana hayo mengine matatu
 
Hapa RAO ana husika kabisa hii ni mbinu ya kumchonganisha Kenyatta na Wananchi ili waone majudge wana windwa.....
Jaribu kujitahidi kuwaza kwa kutumia ubongo Siyo marioka. Don't think like a zero brain minded guy in our neigjbourhood
 
Back
Top Bottom