joto la jiwe JF-Expert Member Joined Sep 4, 2017 Posts 26,117 Reaction score 46,617 Oct 24, 2017 #41 Geza Ulole said: Well njoo ni namba nne hapo kaka! Click to expand... Leo UN wamesema takriban wakenya 5.5M wana njaa na hali itazidi kuwa mbaya kutokana na ukame wa muda mrefu na serikali kukumbwa na sintofahamu ya siasa za uchaguzi, inaonekana njaa nayo itashindikana kama yalivyoshindikana hayo mengine matatu
Geza Ulole said: Well njoo ni namba nne hapo kaka! Click to expand... Leo UN wamesema takriban wakenya 5.5M wana njaa na hali itazidi kuwa mbaya kutokana na ukame wa muda mrefu na serikali kukumbwa na sintofahamu ya siasa za uchaguzi, inaonekana njaa nayo itashindikana kama yalivyoshindikana hayo mengine matatu
BONGE BONGE JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 3,721 Reaction score 2,108 Oct 25, 2017 #42 Ruttashobolwa said: Hapa RAO ana husika kabisa hii ni mbinu ya kumchonganisha Kenyatta na Wananchi ili waone majudge wana windwa..... Click to expand... Ficha upumbavu wako wewe!!!
Ruttashobolwa said: Hapa RAO ana husika kabisa hii ni mbinu ya kumchonganisha Kenyatta na Wananchi ili waone majudge wana windwa..... Click to expand... Ficha upumbavu wako wewe!!!
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,379 Oct 25, 2017 #43 Wameanza kufyekana na wao
eden kimario JF-Expert Member Joined Jun 13, 2015 Posts 10,356 Reaction score 16,379 Oct 25, 2017 #44 Hivi kesho kuna uchaguzi kweli
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 28,064 Reaction score 31,401 Oct 25, 2017 #45 Ngoja tuone kesho nini kitatokea
O olyanu JF-Expert Member Joined May 30, 2017 Posts 1,828 Reaction score 1,061 Oct 25, 2017 #46 Ruttashobolwa said: Hapa RAO ana husika kabisa hii ni mbinu ya kumchonganisha Kenyatta na Wananchi ili waone majudge wana windwa..... Click to expand... Jaribu kujitahidi kuwaza kwa kutumia ubongo Siyo marioka. Don't think like a zero brain minded guy in our neigjbourhood
Ruttashobolwa said: Hapa RAO ana husika kabisa hii ni mbinu ya kumchonganisha Kenyatta na Wananchi ili waone majudge wana windwa..... Click to expand... Jaribu kujitahidi kuwaza kwa kutumia ubongo Siyo marioka. Don't think like a zero brain minded guy in our neigjbourhood