Darfur: Takribani watu 168 wauawa na 98 wajeruhiwa katika mapigano kati ya Waarabu na wasio Waarabu

Darfur: Takribani watu 168 wauawa na 98 wajeruhiwa katika mapigano kati ya Waarabu na wasio Waarabu

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Shirika la misaada katika eneo lenye vita la Darfur, limesema Aprili 24 2022 yaliibuka mapigano kati ya waarabu na wasikuwa waarabu magharibi mwa Darfur, na kusababisha vifo na majeruhi

Inaripotiwa kuwa mapigano hayo yalianza Aprili 21 kwa mauaji ya watu wawili na mshambuliaji asiyejulikana huko Kreinik, mashariki mwa Genena, mji mkuu wa jimbo ambapo baadaye makundi yenye silaha yaliwashambulia majeruhi walipokuwa wakitibiwa katika hospitali kuu ya jiji hilo

Aidha, kundi la wanamgambo wanaoungwa mkono na serikali, maarufu kama Janjaweed linashutumiwa kwa kupanga mashambulizi hayo
 
... wote dini moja hao, mwezi mtukufu huu; halafu wanafanya mambo ya kishenzi! Anyway, itakuwa Marekani wanawavuruga.
 
Back
Top Bottom