hajikagoro
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 216
- 185
Hahaha kitambo sana darhotwire, darchat...
Niling'oa tudemu sana time hiyo...
Niling'oa tudemu sana time hiyo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Marafiki.comWanaouelewa uo mtandao sio vizazi vya instagraam.
Kama umezaliwa miaka ya 2000 huwezi kuelewa.Hapa nimeachwa!!
Duh una kumbukumbu mkuuI'd yangu ilikuwa AK 47
ova
Da mmenikumbusha mbali Sana.darhotwire,marafiki.com sijui walifeli wapi!Wahenga tu wataelewa!
Njoo PM nikueleweshe. 😛Hii ndio inaitwa sio lazima kuelewa kila kitu
Watu wanajadili kwa kuenjoy mie sielewi kitu
Nakuja🙈Njoo PM nikueleweshe. 😛
Wanaouelewa uo mtandao sio vizazi vya instagraam.
Nikuandalie Juice au Chai? au utakunywa kwanza juice wakati ukisubiri chai ichemke?Nakuja🙈
Kwa hiki kibaridi hebu nisubiri chai tuNikuandalie Juice au Chai? au utakunywa kwanza juice wakati ukisubiri chai ichemke?
Waiting....Kwa hiki kibaridi hebu nisubiri chai tu