Darhotwire

Darhotwire

Daaah. Nilikuaga naenda Internet cafe maeneo ya mlimani City enzi hizo ila baadae nikagundua chimbo jipya ndani ya UDSM ilikuwa bei raisi kweli. Na ukifika Net unafurahi zaidi kama una headphone zako unaplay music huku unasurf Darhotwire. Baadae nika naenda Magomeni Mapipa hii cafe ambayo mpaka sasa bado ipo kwa ajili ya kuangalia porn kwa kificho sana maana walikuwa hawaruhusu
 
Darhotwire,kitambo sana,hii ndio raha ya JF kuna kila kitu,hata ulivyovisahau huletwa humu! Long live JF.
 
Wanaouelewa uo mtandao sio vizazi vya instagraam.
mtandao wa darhotwire unanikumbusha mwanzoni mwa miaka ya 2000 nilipokuwa mteja wa kudumu wa cybercafe moja kubwa mitaa ya posta pembezoni mwa ukuta wa jengo la riddoch moters.

nilikuwa nalipia tsh500 kwa lisaa, nilikuwa naperuzi darhotwire halafu nikijihisi kuboeka nahamia kwenye mtandao wa porn, enzi zile mtandao uliokuwa maarufu kwa picha na video za porn ni worldsex. com.

masista duu na wadada wa mujini wa miaka ile, hii cybercafe ndio ilikuwa meeting point yao. kwenda kwangu pale kulikutanisha na sista duu mmoja mwanafunzi wa jangwani girls, mwisho wa siku akaja kuwa girlfriend wangu japo kwa short term.
 
Mkuu enzi izo tumekula life aise.. mambo madogo lakini matamu
 
Daaah. Nilikuaga naenda Internet cafe maeneo ya mlimani City enzi hizo ila baadae nikagundua chimbo jipya ndani ya UDSM ilikuwa bei raisi kweli. Na ukifika Net unafurahi zaidi kama una headphone zako unaplay music huku unasurf Darhotwire. Baadae nika naenda Magomeni Mapipa hii cafe ambayo mpaka sasa bado ipo kwa ajili ya kuangalia porn kwa kificho sana maana walikuwa hawaruhusu
Hahahahaha kumbe wahenga wengi bado mpoo hai ... bwana asifiwe
 
Kitambo sana...

Ndiyo sambamba na kipindi cha Yahoo messenger, hot mail messenger (MSN)...

Kabla ya ujio wa Facebook, instagram na zinginezo...

Cc: mahondaw
 
ma
Mkuu ata mi sijuw wamefeli wapi wakati watumizi tulikuwepo .. zero ubinifu imechangiya piya
May be running cost then hawakua na matangazo.But wangekaza saiv wangekua mbali mimi Nilikua addicted Sana na marafiki.com full kuopoa watoto wakali.But hawajachelewa wanaweza wakaifufua Na kutengeneza strategies nzuri Za kupiga hela kupitia matangazo
 
Kweli Kaka

Umenikumbusha marafiki.com na ile chat room yetu pendwa...dah..

Wapi mamaa mloti[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom