Dark days 17/03/20...

Ndugu mm ni mzalendo tu wa Nchi yangu. Natumia AKILI nilorithi Kutoka waasisi wa Nchi yetu. Nchi hii ni TAJIRI sana.

Mali inapatikana SHAMBANI, tuwekeze ktk KILIMO Cha kisasa. Viongozi waache roho mbaya ya kujiangalia wenyewe.

Naipenda sana TANZANIA yangu, naiombea sana sana. Amen.
 
Duh kumbe kuna mambo yanafanyika kimyakimya bila raia kifaham , sikuwa nafahamu haya ulioyaeleza.
 
Mkuu
Sio Mali pekee kuna zaidi ya Hayo

Sawa

Japo Magamba Matatu analima Sana na analima migomba mimi nalima miti tu hasa mipaina na milingoti hukooo njombe!!!
 
Hahaa, kwamba Si Kila mlevi amelewa!!

Ni Kweli Makampuni ya magharibi yameweka rada zake pale kupitishia mambo Yao kuhujumu Afrika. Bt hatujalala tupo macho.
Kabisa mkuu. Pombe si chai kwa raia ila kwa makamanda wetu ni maji yenye harufu tu, shida ya vijana wetu hawajui haya mambo.

Kuna siku ka kampuni fulani kakatangaza eti kataipiga Kampuni yetu kakaelekeza vifaru John na Rajabu vikiwa vingi kuelekea uwanjani mwa kampuni yetu.

Bwana bwana haijulikani ni muda gani mashimo yakafunguka mchwa ukatoka juu, jioni tarumbeta la parapanda likalia, tukaona malaika wanashuka kutoka mjini wakielekea makao makuu wamebeba nguo,viatu, mikanda begani, wengine wako peku, malapa, mwenye pensi, kifua wazi hao mbiooo.

Muda si mrefu msafara wa bibi harusi umefunikwa maua ya miti unaelekea kwenye sherehe tunauliza bibi harusi yuko wapi hatujibiwi ni kimya kimya tu,hakuna nyimbo wala chereko, kimya kimya tu.

Muda mfupi wakafika kwenye mstari, wakamwambia jirani, ebu washa dish lako uone uwanjani kwetu karibu na kwako kuna nini, eheee! Kihoro mtu kimempata,akaulizwa umeona siyo.Kwa upole Ndiyo akajibu.

Akaambiwa chagua moja, ubadili uelekeo uelekeze kwako na kuondoka au kampuni yako ndani ya saa 24 iwe imefutika. Dakika sifuri akakubali sharti la kwanza.

Baada ya hapo harusi ikaisha, wakarudi nyumbani, cha kushangaza yale yale mashimo yaliyokuwa yamewaficha akina faru John na Rajabu hatukuyaona yakifunguka ili yawarudishe tena,na hatukujua yamerudije. Unaweza kuona umakini huo wa hali ya juu ulivyofanyika.

Unaweza kusema hawa mabaka mabaka hamna kitu nilimzingua au niliwazingua lakini ili ujue kazi yao vizuri nenda kwenye medani zao ndipo utajua unaweza kumzingua au lah. Mmoja mmoja unaweza ili kiujumla wako vizuri sana.Nawapa salute popote mlipo. Kanuni yenu ya kujitoa roho kwa ajili ya nchi haiwezi kulipwa kwa mshahara tu bali kuheshimu uzalendo wenu kwa mapenzi ya nchi yetu na mipaka yake.

Hii ni story nilisimuliwa na nilivyododosa nikaambiwa ni kweli zaidi ya mtu 1,napenda kujua historia ya nchi yangu ndio maana nashare na wenzangu japo kiduchu. Huwa najisikia vibaya ninapoona mtu anaipondea serikali yetu na kusema haijui na haijawahi kufanya kitu wakati imefanya mambo mengi yaliyotukuka.
 
Kama PK yuko ndani ya hii game,basi mimi nimeamua tu kuwa team born town kwa sasa sitaki born town auwawe..nataka afe natural death tu.
Nmerudia kusoma mara 6, story imestick kichwan mpaka nataman nikutane na yoga nipate info nnazoona amezificha hapo kati..

Anayway nashawishika kuwa na matamanio kama yako, asepe KP, then the man afuate..ceo kitabu kimsulubu mamho yaendelee
 
Duh kumbe kuna mambo yanafanyika kimyakimya bila raia kifaham , sikuwa nafahamu haya ulioyaeleza.
Mkuu ni mengi huwa hayasemwi na ukiona mpaka mtu amekwambia ujue amekuamini wewe siyo lopo lopo unaweza kutunza siri. Wengine huwa wanatukana pasipo kujua sasa mimi huwa ninaumia sana kwa kile kidogo ninachokijua baada ya kusimuliwa.

Me nashauri mambo mengine wawe wanatoa intro tu kidogo ili vijana waelewe nini kinafanyika na uimara wa TAASISI zetu uko vipi ili wasije wakapotea kwa kushawishiwa kuasi.
 
Mkuu
Sio Mali pekee kuna zaidi ya Hayo

Sawa

Japo Magamba Matatu analima Sana na analima migomba mimi nalima miti tu hasa mipaina na milingoti hukooo njombe!!!
Kumbe hata wewe unalima, mimi ninalima pia nafaka na migomba. Sote tu wakulima. Kilimo ndio uti wa mgongo na hivi wameongeza bajeti itapendeza sana,naiona Tanzania ikiwa levels nyingine.
 
hakuna kitu pale, uliza
 
Ili hii nchi iendelee huyu born town anatakiwa aondoke,japo binafs ntaumia sana.
 
Na iwe hivyo nchi yetu ni nzuri sana na ya kutamanika na wengi. Hatuna wajibu kuiombea kwa kufunga na kusali kila wakati ili iendelee kuwa tulivu.
 
Born town ana mapungufu mengi sana,ila kwa swala la kuhumshughulikia kp yuko vizuri sana[emoji1787][emoji1787]
 
Watu wanalalmika tuu,hawajui hii michezo imeanza before hawajazaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…