miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Are u sure darling?Uongo mtupu, mbna born town alishindwa wakat akiwa CEO? jidanganye hivyo hivyo, yule ni mafia haswaa.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are u sure darling?Uongo mtupu, mbna born town alishindwa wakat akiwa CEO? jidanganye hivyo hivyo, yule ni mafia haswaa.
SigalaMkuu watu wanamnyooshea kidole kwa kufuata mkumbo...
Hii simulizi yetu ya Yoga ina twist nyingi sana...
EMBU TUJIULIZE KAMA NI KWELI HII SIMULIZI JE....
BORN TOWN kama aliamua kujiokoa asichomoke akamuwahi mwenzake Late CEO?
...JE kama kuna vitu havisemwi...?
UNA HABARI BORN TOWN alikuwa anaviziwa na Late CEO amchomoe...
Je... Unafamamu.. Born Town akaambiwa ukikaa vibaya unachomoka... JIWE linakuvizia.... Born Town akaingia kazini kujiokoa...?
..HIVI MKUU MLIKUWA MNAMJUA JIWE VIZURI? AU TUNAMJUA KWA KUANGALIA TV.?
Jiwe lilikuwa linapiga sigara kidogo siku moja moja... Likitoka huko.. Watu wote wanajua leo tumeisha....
Hivi unajua Secretary wa Jiwe aliyeondoka kabla ya mwenyewe kuondoka.. alikuwa anamtuliza sana JIWE asimuondoe KATELEPHONE madarakani... kila mwezi Jiwe likivuta sigara linasema.. natamani aondoke.. wakati ndiye mtendaji bora..
Anyway... Natania.. ..JIWE alikuwa poa..
Tuishie hapa
Mkuu pole. Nilighafirika sana. Huyu paka simpendi mno. Na umenipa ubroo kabisa[emoji23][emoji23]Broo ficha code mkuu,
Yaani ni mambo ya kushangaza, ninadhani kuna mahali kama Taifa tulipotezea baadhi ya vitu kumbe ni vitu vya muhimu sana.Huwa ninapenda kushauri somo la Uzalendo kwenye mitaala yetu ni la muhimu sana.
Zamani alivyokuwa akija mgeni kijijini/mtaani kwenu/kwetu, lazima balozi ajue na watu wamjue ametokea wapi, anafanya nini, atakaa kwa muda gani hapo. Lakini siku hizi hii haipo. Naomba irudishwe kwa kweli.
Wajumbe/mabalozi ni watu wa muhimu sana,ikibidi wawe wanapewa posho za kujikimu kimaisha wanawajua watu wao kwa ukaribu sana..
Kuna siku alikuja mgeni nyumbani kwetu kijijini eti ni chizi, amevaa malapa, ana daftari na kalamu kwenye mfuko, amevaa shati la mikono mirefu na suruali ya kitambaa kijani kibichi.
Akakaa vizuri tu,nilivyouliza nikaambiwa amekuja kuomba hifadhi na msaada wa chakula. Nilivyomtazama vizuri miguuni na nywele zake, nikatoka nje nikisema huyu siyo chizi, chizi gani yuko...halafu lafudhi si ya mtanzania. Hapa nilikuwa darasa la 4 zamani kidogo.
Unajua alichokifanya, alikimbia mbio nilivyojaribu kumfuatilia sikumuona alipotelea vichakani. What if I shouldn't take my curiosity what would happen to us.?
mambo yanaanzaga hv hv fatilia kabla late CEO hajafa, story zilianza kama utani kuna njemba moja ilisema "msiwe na wasiwasi hawezi kubadili katiba aongeze muda, mwakani tutakua na Rais mwanamke" matokeo yake ulionaHizi ni hadithi za Yoga hazina ukweli wowote.
Huyu ana back up na wenye nguvu ndio maana ana jeuri kuwafanyia hivyo. Usalama wa Ukanda wa maziwa makuu jicho ni TZ ,hawako tayar kuona tunaingia matatizoni lasivyo nchi zote zinazotuzunguka zitaingia motoni.
Kuna watu humu Kwa uelewa finyu wanadai Eti jiwe alichukua walinzi wa PK Eti wamlinde!!!!!! Huwa nacheka sn.Ninaweza kukubaliana na wewe kwa baadhi ya mambo ambayo majeshi yetu huyafanya pasipo watu wengine kujua. Tanzania imefanya operations nyingi sana na zenye mafanikio makubwa. Hata hili la kumuonyesha bwana Paka ni mjanja wa Intelijiensia lina sababu zake na kwa maksudi maalumu.
Kipindi kile cha 2014 alivyojifanya kwamba anaweza kuipiga kampuni yetu, watu wetu wa kazi waliweka mitambo kwenye kakichuguu na wakawa wanaichungulia kampuni yake.
Wakati anawaza kuipiga kampuni yetu tayari vijana wetu wa kazi walishahamisha baadhi ya watu wetu na kutengeneza shelters ili akirusha tu hakuna raia hata mmoja, sasa ushangae kule kwake hakuwa amejipanga hivyo, so angeleta madhara makubwa kwa wananchi wake na kampuni yake.
But thanks God alipigwa kwa diplomasia tu.Jamani fuatilieni historia ya nchi yetu, ni nzuri sana n ya kusimumua, ukiijua mtu hawezi kukudanganya kwamba tu dhaifu. Tuko imara sana.
Kitu kingine ambacho hakujua alidhani infos alizonazo zimemtosha kuijua kampuni yetu, kumbe hakuwa anajua kama alivyojiaminisha, alijua vichache huku vijana wa kampuni yetu wakijua mengi ya kwake.
Kampuni yetu siyo hivyo jinsi ilivyo madhaifu yetu ya ndani haina maana kwamba hata huko nje ndivyo tulivyo. Siyo kila mlevi amelewa. Mambo mengi huachwa hivyo hivyo kwa maksudi.
Kule porini kuna mambo nyinyi acheni kabisa, mmewahi kusikia pango la wanyang'anyi ambalo lilikuwa likifanya uharamia? Linavamia watu linaiba mbuzi,ng'ombe, kuku, bata mpaka nafaka kisha wanatumwa wazawa kwenda kusaga halafu wanawapelekea kwa kuogopa kuuawa?
Hili genge lilijiona untouchable wakati huo, walikuwa ni wengi kama kijiji, kuna wake, watoto na watu wengine kibao wanaoshirikiana nao, mnajua walifanywa nini?
Saa 2 za usiku ,walijikuta wamefukiwa pasipo kusema hata kwaheri, na mnajua kwanini ilikuwa ni saa 2 za usiku? Kwasababu ulikuwa muda wa msosi wa usiku wamekusanyika pamoja.
Kisa kingine huko huko,majambazi yalikuwa yamejificha porini na yameleta usumbufu mkubwa sana, kila yakitafutwa hayaonekani lakini utekaji unaendelea.
Akatumwa Komandoo mmoja kutoka JWTZ wakamdrop porini akaanza kuwatafuta, ghafla hawa hapa, akawasoma na kujua idadi yao, nao bwana vile vile wanaota moto wamejikusanya. Alipiga risasi moja kwenye ule moto si mnajua baruti na moto. It was the end.
Watanzania wenzangu JWTZ, TISS na POLISI ni vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ambavyo viko imara sana hizi changamoto za ndani zisitufanye tukose navyo amani, vinafanya kazi nzuri sana ila kwa kuwa hazitangazwi si rahisi kujulikana. (Hawa wachache wanaoharibu ndio waondolewe)
Mambo yao ni mengi hapa nimeandika kwa ufupi tu. Kama nilivyosema huyu mtu huenda anapaishwa tu lakini kwamba ana nguvu kiasi cha kutupangia cha kufanya sidhani kwa jinsi ninavyoijua na ninavyoielewa nchi yetu kwa historia yake.
Again... naona ukanda na uchuki umetawala..
Mr. Born town is smart. Na atashinda na nameombea ashinde. Sijui imekuaje hawa warwandese wameachwa hivi mpaka kwenye kampuni. I hate PAKA with passion. Uzuri mr. Born town anamjua kimbwa mbwa. Najua born town atawanyooshaaa. Kitu ambacho hamhakifikiria ni, born town leo hii akasepeshwa mmewaza ya Congo? Huyu paka anataka kututawala huu ukanda wote? Haiwezekani. Born town dont let us down. Kama hii code ni ya kweli wanyooshee. Na huyu bi kidude anaingia vipi kwenye vita na born town? Amemkosea nini? Mbona hata yeye hayuko salama? Shenzi kabisa. Anafikiria akimmaliza born town ndo atakua salama kwa huyo pakarapa? Ila jiwe alaaniwe sana boya yule. Aliruhusu huyu fala akawa na access zote mjini. Tz tumepatikaba
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Usiruhusu hizo hasira, codes zaweza kufanya mtu akanyamazishwa milele. We're not even safe in here!Again... naona ukanda na uchuki umetawala..
Mr. Born town is smart. Na atashinda na nameombea ashinde. Sijui imekuaje hawa warwandese wameachwa hivi mpaka kwenye kampuni. I hate PAKA with passion. Uzuri mr. Born town anamjua kimbwa mbwa. Najua born town atawanyooshaaa. Kitu ambacho hamhakifikiria ni, born town leo hii akasepeshwa mmewaza ya Congo? Huyu paka anataka kututawala huu ukanda wote? Haiwezekani. Born town dont let us down. Kama hii code ni ya kweli wanyooshee. Na huyu bi kidude anaingia vipi kwenye vita na born town? Amemkosea nini? Mbona hata yeye hayuko salama? Shenzi kabisa. Anafikiria akimmaliza born town ndo atakua salama kwa huyo pakarapa? Ila jiwe alaaniwe sana boya yule. Aliruhusu huyu fala akawa na access zote mjini. Tz tumepatikaba
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Yawezekana ni kweli uyasemayo ila siasa za hovyo zimeharibu kabisa sifa za majeshi yetu hasa tiss na polis baada ya kujiusisha moja kwa moja katika kupigania maslahi ya wana siasa na wala sio maslahi ya nchi.Ninaweza kukubaliana na wewe kwa baadhi ya mambo ambayo majeshi yetu huyafanya pasipo watu wengine kujua. Tanzania imefanya operations nyingi sana na zenye mafanikio makubwa. Hata hili la kumuonyesha bwana Paka ni mjanja wa Intelijiensia lina sababu zake na kwa maksudi maalumu.
Kipindi kile cha 2014 alivyojifanya kwamba anaweza kuipiga kampuni yetu, watu wetu wa kazi waliweka mitambo kwenye kakichuguu na wakawa wanaichungulia kampuni yake.
Wakati anawaza kuipiga kampuni yetu tayari vijana wetu wa kazi walishahamisha baadhi ya watu wetu na kutengeneza shelters ili akirusha tu hakuna raia hata mmoja, sasa ushangae kule kwake hakuwa amejipanga hivyo, so angeleta madhara makubwa kwa wananchi wake na kampuni yake.
But thanks God alipigwa kwa diplomasia tu.Jamani fuatilieni historia ya nchi yetu, ni nzuri sana n ya kusimumua, ukiijua mtu hawezi kukudanganya kwamba tu dhaifu. Tuko imara sana.
Kitu kingine ambacho hakujua alidhani infos alizonazo zimemtosha kuijua kampuni yetu, kumbe hakuwa anajua kama alivyojiaminisha, alijua vichache huku vijana wa kampuni yetu wakijua mengi ya kwake.
Kampuni yetu siyo hivyo jinsi ilivyo madhaifu yetu ya ndani haina maana kwamba hata huko nje ndivyo tulivyo. Siyo kila mlevi amelewa. Mambo mengi huachwa hivyo hivyo kwa maksudi.
Kule porini kuna mambo nyinyi acheni kabisa, mmewahi kusikia pango la wanyang'anyi ambalo lilikuwa likifanya uharamia? Linavamia watu linaiba mbuzi,ng'ombe, kuku, bata mpaka nafaka kisha wanatumwa wazawa kwenda kusaga halafu wanawapelekea kwa kuogopa kuuawa?
Hili genge lilijiona untouchable wakati huo, walikuwa ni wengi kama kijiji, kuna wake, watoto na watu wengine kibao wanaoshirikiana nao, mnajua walifanywa nini?
Saa 2 za usiku ,walijikuta wamefukiwa pasipo kusema hata kwaheri, na mnajua kwanini ilikuwa ni saa 2 za usiku? Kwasababu ulikuwa muda wa msosi wa usiku wamekusanyika pamoja.
Kisa kingine huko huko,majambazi yalikuwa yamejificha porini na yameleta usumbufu mkubwa sana, kila yakitafutwa hayaonekani lakini utekaji unaendelea.
Akatumwa Komandoo mmoja kutoka JWTZ wakamdrop porini akaanza kuwatafuta, ghafla hawa hapa, akawasoma na kujua idadi yao, nao bwana vile vile wanaota moto wamejikusanya. Alipiga risasi moja kwenye ule moto si mnajua baruti na moto. It was the end.
Watanzania wenzangu JWTZ, TISS na POLISI ni vyombo vyetu vya ulinzi na usalama ambavyo viko imara sana hizi changamoto za ndani zisitufanye tukose navyo amani, vinafanya kazi nzuri sana ila kwa kuwa hazitangazwi si rahisi kujulikana. (Hawa wachache wanaoharibu ndio waondolewe)
Mambo yao ni mengi hapa nimeandika kwa ufupi tu. Kama nilivyosema huyu mtu huenda anapaishwa tu lakini kwamba ana nguvu kiasi cha kutupangia cha kufanya sidhani kwa jinsi ninavyoijua na ninavyoielewa nchi yetu kwa historia yake.
Ni kweli me nasimama katikati na kwenye maslahi ya nchi basi.Unajua binafs nlikua simuamin sana born town,lkn kuna kipindi nlifuatilia history kidogo nlimuona born town akiwa anampokea kwenye ziara za our late muanzilishi wa kampuni yetu,kipindi hiko born town alikua nadhan na umr wa 30 au below hapo,sasa kama mtu yupo kwenye system kuanzia miaka ya mwenye kampun mpaka kipindi hiki inapaswa tujue anajua mbivu na mbichi anaijua nje ndani system yetu,so tumsimchukulie poa huyu mzee wa tabasam,
Inaonekana mambo ni mengi yaliyotokea ndani, ila huko nje hatuna namna tunamtetea kulinda image yake na Taifa kwa ujumla. Ni uzalendo tu.Mkuu watu wanamnyooshea kidole kwa kufuata mkumbo...
Hii simulizi yetu ya Yoga ina twist nyingi sana...
EMBU TUJIULIZE KAMA NI KWELI HII SIMULIZI JE....
BORN TOWN kama aliamua kujiokoa asichomoke akamuwahi mwenzake Late CEO?
...JE kama kuna vitu havisemwi...?
UNA HABARI BORN TOWN alikuwa anaviziwa na Late CEO amchomoe...
Je... Unafamamu.. Born Town akaambiwa ukikaa vibaya unachomoka... JIWE linakuvizia.... Born Town akaingia kazini kujiokoa...?
..HIVI MKUU MLIKUWA MNAMJUA JIWE VIZURI? AU TUNAMJUA KWA KUANGALIA TV.?
Jiwe lilikuwa linapiga sigara kidogo siku moja moja... Likitoka huko.. Watu wote wanajua leo tumeisha....
Hivi unajua Secretary wa Jiwe aliyeondoka kabla ya mwenyewe kuondoka.. alikuwa anamtuliza sana JIWE asimuondoe KATELEPHONE madarakani... kila mwezi Jiwe likivuta sigara linasema.. natamani aondoke.. wakati ndiye mtendaji bora..
Anyway... Natania.. ..JIWE alikuwa poa..
Tuishie hapa
Hilo nalo neno mkuu. NikapumzikeUsiruhusu hizo hasira, codes zaweza kufanya mtu akanyamazishwa milele. We're not even safe in here!
Niko huru kupokea mawazo ya kila mtu,upo sahihi hata viongozi wetu wanatuangusha badala watetee maslahi ya wananchi wanatetea matumbo yao kwa kuiba rasilimali za nchi.Usihukumu raia mkuu,hukumu na hawa viongozi wanaotugawa,leo anasimama kiongozi anasema vijana wote wamepatiwa mkopo,ambae hajapatiwa huenda sio mtanzania,hivi huyu anaeza kukuimbia neno uzalendo ukamuelewa??
Tuko pamoja boss!!Binafs nilielewa mkuu,
Hunishindi mimi roho yangu huwa inauma sana ninapoona vijana wetu wakiteseka kwa ajili ya mtu mmoja.DRC inateseka mno. Hata vijana wetu tumewapoteza sana sana sana. Roho inaniuma kweli vijana wetu huko congo.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mwamba we ni noma umenivunja mbavu aiseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna vichekesho vya mizengwe
Mkwere kaibiwa simu stendi Dar akaamua kujiongeza auze karanga huku akijifanya bubu
Sasa na mimi niliwahi kumuona Mrundi kaja na staili hiyo hiyo ila yeye anatembea na fimbo huku anaomba hela madukani na haongei anatoa macho mpaka unaogopa na usipompa anakutishia kukupiga
Vijana wamachinga alikuwa anawavunjia bidhaa zao mpaka siku moja wakaandaa fimbo wote
Kilichofuata aliongea kikwao kwa sauti
Kuna watu wachache hasa utakuta ni wale wanaotoa maamuzi juu ya wengine hawa ndio wanawavunja moyo sana wengine.Yawezekana ni kweli uyasemayo ila siasa za hovyo zimeharibu kabisa sifa za majeshi yetu hasa tiss na polis baada ya kujiusisha moja kwa moja katika kupigania maslahi ya wana siasa na wala sio maslahi ya nchi.
Hili kwangu limenifanya nipoteze kabisa imani na hivi vikosi.
#MaendeleoHayanaChama
Kweli yaani ulikuwa umepotea hadi ukafika huko [emoji846][emoji846],wale walianza kuvaa vile hadharani kipindi cha jiwe ndio maana watu wakavumisha eti wametoka kwa PAKA.Ninadhani ni kutokujua na hawakuwahi kuwaona.Kuna watu humu Kwa uelewa finyu wanadai Eti jiwe alichukua walinzi wa PK Eti wamlinde!!!!!! Huwa nacheka sn.
Mwaka 2014 nilikwenda kumtembelea Babu yangu DSM, mwaka Ule palikuwa na TETESI kuwa PK angeweza kutuvamia anytime, Jioni moja Si nikatoka kwenda kunyoosha miguu, ushamba mzigo, Si nikapotea njia, naangalia mbele naona ubalozi wa Aust...,
Si nikakunja kushoto, nimetembea weeee, naangalia mbele ghafula nikaanza kuona WAZEE wananipita Kila mmoja Yuko busy na mambo Yao, Cha kushangaza mabaka ktk mavazi Yao sikuwahi kuyaona tangu Kuzaliwa, nikahisi maybe nimeingia ubalozi wa us, uniform zao zilikuwa na mabaka kama Yale yanayovaliwa na wajeda wa us wawapo jangwani, ni khak hv niliogopa sana.
Nilipohisi naelekea eneo la hatari Zaid Si nikapiga u turn nianze kurudi nilikotoka, jamaa mmoja akaniuliza vp unaenda wap?? Au umetumwa na PK uje kutupeleleza? Nikamjibu nimepotea njia.
Siku hiyo nilipigishwa kwata za hatari, kilichonisaidia ni pale nilipomtaja Babu yangu wakastuka kidogo maana alikuwa mmoja wa majuddge kipindi Cha JKN. Wakanitema nikarudi hoi!!
Watu hao niliowaona zamani ktk uniform zile ndo nmekuja kuwaona wakimlinda JPM na watu wasivojua wakahisi amewachukua Kwa PK.
Hahaha haya ndio masharti sasa
Ili kupunguza wengi lazima lugha ibadilike Halafu wachangiaji wachangie kidogo
Ila kujua lugha nyingi raha sana