Dark days 17/03/20...

Lamawi
 
"Mungu wa Mbinguni anapaangalia hapa ndomana viongozi wafanyapo mabaya tunasema tu na mabadiliko yanafanyika Si kama pengine Hadi maandamano na kumwaga Damu."

Iliaza tozo ya miamala,, ikaja kodi ya jengo, ikaja mfumuko wa bei usiomithilika,, ikaja bei ya petrol,,

ktu gan mshawahi kusema na mabdiliko yakafanyika? Naomba mifano minne tu!
 
Nakubali kwamba nchi yetu tupo vzuri kwenye ulinzi. Ila sababu ya ushamba wa yule jiwe akaanza kuwapachika na kuwapa vyeo washamba wenzake bila vetting yyte na tungekua pabaya sana kama angeendelea.
 
Nakubali kwamba nchi yetu tupo vzuri kwenye ulinzi. Ila sababu ya ushamba wa magufuli akaanza kuwapachika na kuwapa vyeo washamba wenzake bila vetting yyte na tungekua pabaya sana kama angeendelea.
Tatizo lingine eti alikuwa mbishi sana hashauriki, mapendekezo mengine alikuwa anayakataa ambayo yana tija kwa Taifa. Ni eti lakini sina uhakika sana.
 
I strongly support, because this thread is inundated with idiotic comments

1.Tulipiga kelele Kwa habar ya mafuta walipuuza bt kelele zilipozidi walienda kukopa Ili kudhibiti mfumuko wa Bei,ingawa Si solutn ya kudumu bt wamesikia.

2.konda na 7bay tulisema sana umewaona mezani?

3.Richmd Tulipaza sauti ilibidi mtu amtoe kafara jamaa wake.

4.Ongezeko la mishahara na calculatn za pension zilipigiwa kelele na unaona yanarekebishwa.

Hilo la tozo na mikopo limekuwa sugu, asipopisha mwigu atamponza boss muda unaishia Ivo, usikate TAMAA wewe ndo mwenye Nchi Sema wanasikia.
 
Hunishindi mimi roho yangu huwa inauma sana ninapoona vijana wetu wakiteseka kwa ajili ya mtu mmoja.

Mbaya zaidi eti watu wake wana akili sana na dharau kama zote kwa wengine. Ila iko siku yake .
Yaaan atunguliwe mbwa yule. Hata humu watu wake wamejaaa. Watunguliwe tu. Huu ukanda anauharibu sana.vijana wetu Mungu awalinde sana. Ni kama huko ulaya. Ubinafsi wa maviongozi wale watoto wa watu wanakufa vitani. Yaa vijana wa miaka 21 mara wamekamatwa mateka wa vita. Roho inaniumaga kufa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Yule mzee wa chato ndo kasababisha haya
 
Sjaona jibu la swali langu hapa[emoji848]
 
Nakubali kwamba nchi yetu tupo vzuri kwenye ulinzi. Ila sababu ya ushamba wa magufuli akaanza kuwapachika na kuwapa vyeo washamba wenzake bila vetting yyte na tungekua pabaya sana kama angeendelea.

Sjaona jibu la swali langu hapa[emoji848]
Kama hujaridhika na majb Haina shd, mm pia yapo maswali nauliza sijajibiwa, Watoa majb wamesinzia.

Jambo muhimu TUSIOGOPE Wala tusikate TAMAA.
Tupambanie KATIBA mpya ndo Ina majibu ya maswali yote. AMEN.
 
Kabisa mkuu, ndio maana baadhi ya watu wake wanamchukia sana Mr.born town.
Kwa hiyo waendelee na vizazi vyake kula keki na ukwasi wa kutisha..kisa anamuweza KP ..?

Apotee.. ..Ana madeni mengi mno..dhima hasa...

Wa kumkalisha slim wapo ..kwani anamshughulikia yeye peke yake?!

Ana damu za Moto ..kila upande..kumfuga huyu Ni hatari Naye mwisho atakuwa adui..maana kishajiaminisha kwamba bila yeye au mtu wake kampuni itakufa..
 
Kwani ile haikuwa Corona? Maana watu wote wa pembeni hawakuvaa barakowa.
 
Wamo kibao humu utaona wanavyomtukuza na kumpamba utadhani malaika.Watafutwe wasukumizwe kwenye kamkoa kao watuachie kampuni yetu hatujazoea mambo ya maugomvi wala ubaguzi wa kikanda na ukabila, kokote kwenye kampuni yetu mtu unaishi raha mustarehee hakuna anayeuliza wa wapi labda kwa ajili ya utani au akutambulishe na mtu wa kwenu, ila kwenye kubaguana hakuna kitu kama hicho.
 
Mkuu wa majeshi akiwa mboma.
Nadhani kitu kama hicho ila sikumbuki vizuri. Pia inawezekana ndio huyo huyo aliwahi kumpiga mkwara Paka kwamba usipoacha ujinga wako wa kupigana pigana huko ninakufuata nikiwa full.Akatulia.

Sasa huwa ninashangaa eti ana nguvu sana,mara atatupiga, ana jeshi imara sana, hizi propaganda siyo nzuri ifike mahali zife kabisa maana zimeshawaharibu baadhi ya vijana na kumuona shujaa.
 
Alikua anasema "SIPANGIWI"
Hii haikuwa sawa kwa mtazamo,huwezi kudharau mawazo ya wengine kama unataka kufanikiwa baadhi ya vitu. Wazo la mjinga mara nyingi huwa fumbo la mwerevu.

Kuna mahali utahitaji ushauri tu hata iweje, kuongoza kampuni ni tofauti na kuongoza taasisi, ukienda mahali /sehemu ukawakuta wenyeji salimia kwanza halafu sema shida yako. Utasaidiwa bila kinyongo. Lakini ukijifanya unayajua mazingira yote na utapita njia zote bila kuwashirikisha wenyeji utajikuta unapotea na hutapata msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…