Dark days 17/03/20...

Paka access hakuipata kwa late CEO, kipindi cha lile vuguvugu aliwahi kusema anajua hadi shuka analolalia born twn, unakumbuka?
 
Wee sahivi born town hayuko ktk kampuni, hawezi kupambana na PK mwenzie yuko ktk kampuni, lazima born town apatikane.
Hahahah. Analo huu mwaka.
My dear. Thats not even working. He had made lots of. Watch this game closely. Nashangaa sana unakua proud na paka ambaye ni mshenzi. Mtu amemdhulumu mpk jiwe ni mtu huyo? Kama taarifa tu zinaleak hv unategemea born town kolo.? Kama pk anavyomsaidia bibie na ile gang na born town ane huyo wa democracy pia. Ila bi kidude is not even safe... afikirie twice

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Natamani sana kujua huyu fanani wetu yuko timu ipi kati ya hizo timu 5 zilizopo kwenye hadithi hii tamu! Au kuna timu nyingine nje ya pazia?

Unamalizia stor vizurrr, umefuta hatua zote. Wote wamepotea.
 
Born town ize byuldinnn[emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Iri iz wari iri iz[emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Born town kipenzi ya watu anaonyesha kuwa ni kijana hodari aliyekula sahani moja na vigogo wote wanne wa nchi hii. Kwa sasa anabakia kuwa state man wa kampuni na tunaendelea kumuombea kila la kheri.
Show zake za kibabe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91] smart ass

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kabisaa. Tunaipenda nchi yetu na tunaitakia amani. Paka asitusogelee kabisa huyu mpumbavu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Tukiongea hapa watu wanadhani tuna chuki binafsi na Paka how ? Mambo yake siyo, hana uchungu na nchi yetu,hatupendi watanzania, shida yake kubwa ni rasilimali za nchi yetu. Atuongoze kwani sisi hatuwezi kujiongoza, sisi siyo wajinga kiasi hicho.

Mbaya zaidi hata watu wake wana dharau sana akija kwako anataka kukutawala, anakupangia nini cha kufanya, dharau kama zote anaweza kukutemea mate usoni. Ni wachafu hawa watu,wawachunguze vizuri. Sisi tuliowahi kuishi karibu nao ndio tunawajua na hatunaga shobo nao kabisa.
 
Kwa nn hawa watu huwa wanaua afu wanatupa maiti kwny maji?? Huwa wanashindwa kufukia au kutumia njia nyngne ili maiti zisionekane?
Ili miili ipelekwe na mto mpaka ziwani halafu maiti zionekana ziko kwenye kampuni yetu kwahiyo ushahidi kwao haupo. Ziwa huwa halikai na uchavu lazima liusukumize pembeni, sasa nyinyi mkiona maiti si lazima mtawasitiri?

Kwahiyo yeye hataki wazikwe kwenye ardhi yake, kupoteza ushahidi wa kutambulika na dharau tu kwamba hawastahili kuzikwa kwao, pia kwamba uchafu uje kwenye kampuni yetu,dharau hizo hizo za kijinga kujiona wao ni watu bora kuliko waungwana na watu wapole.
 
Paka hata kwa sura tu aanaonekana roho mbaya. Ngoja sasa born town ameamka. Acha awanyoosheee. Kuliko paka aje bora tubaki na born town wetu. Huyo paka anyooshweee. Yaan anatamani kweli tz ingekua yake. Ama tuwafanyie kama russia kwa ukraine?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Hahaha na bandari... balaaaaa[emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ila kipindi kile alikuwa amezidi aisee, maneno ya shombo shombo tu halafu wakakaa kimya akaona dhaifu haw waungwana, alivyojibiwa kidogo tu,busara,hekima, diplomasia zikaombwa zitumike. Angeendelea tuone umwamba wake.

Unajua kuna vitu vinatia hasira unajifikiria kama ungekuwa ni wewe tayari muda mrefu tembo ulishalitia maji, halaaa, nani anataka ujinga?[emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]
 
Me naona ndio muda wake amuonyeshee kwamba niko pembeni ya uskani lakini gari litafika mpka mlangoni kwako, sasa hapo nani zaidi?

Yaani hata kama atatokea mwingine kutawala as long as ana alama kwenye bega la kulia hatuna shida.Yaani eti jirani yangu aje akae sebuleni kwangu ajifunge msuli awashe tv, amwambie mke wangu na watoto kuanzia leo mimi ndiye baba wa hii nyumba kwasababu baba yenu ni dhaifu kazi yake ni kutabasamu tu,eti nimuache, never, muda wa ku-act ni sasa...ukimchekea nyani utavuna mabua..!!
 
Jiwe alikuwa ni zaidi ya tatizo !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…