Dark days 17/03/20...

Mkuu

Unamaanisha kuwa kuna vitu tunafichwa Sio!!!?

Mi niloshtuka nilipoona hakuna mwendelezo wa episode inapoisha bali inarukiwa nyingine nikajua mwandishi akataka tujue upande tu wa kile alichokusudia!!!
Hii ni hadithi tu, alichotaka kije Kwa hadhira kimefika. Mwandishi amelazimika Kuongeza baadhi ya episodes kubalance pressure ya both parties Bt inavutia.
 
Kwamba siyo asugue goti siyo? Hii watu wanatakiwa kuijua sana, yeye anayajua mapazia ya kitanda chake kumbe mwenzake anaingia hadi chumbani kakwe na kumwambia vipi sasa nikupeleke ufukweni ukanywe gahawa na nguru wa kuchoma huku tukicheza draft?? Nani zaidi hapa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nina wivu mkubwa sana na Tz. Anapokuja intruder i cant take it. Yaan nakiamsha haswaaaa.. kwann watupande kichwani

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Uko sahihi, hakuna mtu anayependa kupangiwa mambo ya kijinga na mwingine kwasababu zake binafsi.Sote tunatakiwa kuwa na moyo wa namna hii kama nchi [emoji846][emoji122][emoji122]
 
we ndo CEO yaani hiki kipengele ndo kimenistua et kule ulikonichafua kanisafishe,,,

na ukizingatia mwanzo wa stori birntown alichafuliwa na mwisho wa story anasafishwa 😂 wabongo tunachezewa akili.
 
we ndo CEO yaani hiki kipengele ndo kimenistua et kule ulikonichafua kanisafishe,,,

na ukizingatia mwanzo wa stori birntown alichafuliwa na mwisho wa story anasafishwa [emoji23] wabongo tunachezewa akili.
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoma ya wanaume mama atulie jamani..

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kabisaaa yaan. Mie naona wanachelewa kumlaza foot 6 huyo Born town, khaaaaah
Japo born town ana mishe mishe nyingi

Ila dijawahi natamani afe kizembe.

Ana unafuu na uungwana kuliko yule jamaa mzilanKENDE.

born town ana utu kidogo.

Angekuwepo madaraka wewe leo ungekuwa uhakika wa kazi unachosomea chuo.

Mambo yote yalitibuliwa na gule mzilanKENDE.

nilipata kazi yangu ya kwanza kipindi born town yuko hatamuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…