Dark days 17/03/20...

Kumbuka pia kuna vijana wengi wameuawa na mr born town waliokuwa wanamstukia, wengi mno kaua. Na ndiyo maana vita ilikuwa kubwa sana kwa wazalendo. Sasa hivi nadhani walishajua sasa mbaya wao. Uzuri siku zote vijana wa kazi wala huwa hawana papala, inaweza chukua hata 5 or 10 years ila siku wakiliamsha dude ni noma
 
Kabisa, born town yupo smart kudeal nae inabidi uwe smart. Kuna fukuto ndani ya kampuni uzuri ni kwamba ndani ya kampuni hakuna rafiki wala adui wa kudumu, muda wowote tu ukiwakera rafiki wanakugeuka, kikulacho...
 
Mbona unalia lia sana ww fala
huo wizi ukiambiwa thibitisha huwezi!!!
achana na story za vijiweni kumbaf
 
Kama the late CEO angepata watu smart watano naye awe smart, uwezo wake wa kufanya maamuzi magumu yangemshindia vita kadhaa. Alihitaji kutengeneza mfumo thabiti kabla ya kuingia uwanjani.
Hata pamoja na hayo ameifia "imani"..neno linasema.


"Injili itahubiriwa kwa wema au ubaya"....This is the sacrifice of peace ambayo Mungu ataiheshimu na kusaidia taifa lake sawa sawwa na neno la unabii lililotolewa sometimes back......This game was orchestrated in a very very smart way, nobody I repeat not on earth will be able to go against...Its done once and for ever, Tanzania njema ni lazima iwe apende au asipende mtu; its a decree, says Ame the Prophet!
 
alinusa hatari ndio maana akakimbilia kwa PK ila akawahiwa kabla hajasuka system yake
System ilisukwa na ipo mpaka sasa, subiria kidogo tu utasikia born town anapiga yowe na kunyamaza mazimaa.

Old CEO alikufa but system yake haikufa ipo hai, nasema ipo na utajua siku ile ambayo huyo mjanja wa mjini atakapogeuzwa kama chapati kikaangoni.
 
1Fu
 
Kama ndio hivyo si yupo JIGWA BOY.
 
Swala la kutawala milele walikuw wanamsingizia ilikuwa ni njama yule jamaa mwenye tabasamu zake.vijana wake wa habari ndo walisambaza hiyo ishu ili raia wamchukie late CEO
Alisingiziwa!? Inaamana unaamini vyama vya upinzani vilishindwa vyote? Unaamini hakuwa na mpango wakuwa na kuwatoa wapinzani mjengoni? Ili iweje wabakie wao tu? Au hao waliomsingizia ndio walimshauri Mjengo uwe na Chama cha kijani tu? Ili iweje?
 
Na mm nlitaka niulize hivi hivi,ukiona born town anaanza kukuzngua kwa mafumbo ujue ndani kunafukuta,time is only medicine.
 
Code ya fdr imeniacha.
 
N
Nangoja muendelezo kwani hadi hapa NIKO GIZANI! Kwani "Msema kweli mpenzi wa Mungu"!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…