Eti wewe unajua hili alaf born town hajui,wewe una akili weee?System ilisukwa na ipo mpaka sasa, subiria kidogo tu utasikia born town anapiga yowe na kunyamaza mazimaa.
Old CEO alikufa but system yake haikufa ipo hai, nasema ipo na utajua siku ile ambayo huyo mjanja wa mjini atakapogeuzwa kama chapati kikaangoni.
Kama umesoma story hii neno kwa neno utakuwa Umegundua kitu, ila kama hujui kufungua code utakuwa gizani ndugu.Alisingiziwa!? Inaamana unaamini vyama vya upinzani vilishindwa vyote? Unaamini hakuwa na mpango wakuwa na kuwatoa wapinzani mjengoni? Ili iweje wabakie wao tu? Au hao waliomsingizia ndio walimshauri Mjengo uwe na Chama cha kijani tu? Ili iweje?
Unadhani sina akili?Eti wewe unajua hili alaf born town hajui,wewe una akili weee?
Watu wanasoma hii stori juu juu tu.....Kama umesoma story hii neno kwa neno utakuwa Umegundua kitu, ila kama hujui kufungua code utakuwa gizani ndugu.
Ni kwamba old CEO aligundua kuwa wapinzani(baadhi) ni njaa tu ndio tena ni wanafiki wakubwa waliopandikizwa na born town ili kulinda enzi yake. Hivyo old CEO alianza kuwanasa kwa kuwanunua, na alipoona wananunulika kirahisi mwanaume akaazimia kuwafutilia mbali watoke kabisa na wasiingie mjengoni wapuuzi hao.
Msome vizuri yoga ktk hii story kisha linganisha na matukio yote yaliyopita (hata yajayo) na utapata jibu kuwa nchi yetu imechezewa sana na inaendelea kuchezewa na wahuni wachache wakiongozwa na Mr born town.
Halafu wakishasoma kijuu juu wanakimbilia kutoa comments za kitoto kabisa.Watu wanasoma hii stori juu juu tu.....
Hakika...Halafu wakishasoma kijuu juu wanakimbilia kutoa comments za kitoto kabisa.
Kumwelewa yoga inabidi uwe msomaji mtulivu na mwenye kutafakari, pia usiruhusu jazba ikutawale kila ufunguapo code 😄
@yoga Asante kwa story hii.Hellow guys and Sorry pia!! Kuna kiubz flan kilipita but mambo yako vizuri sasa!! Dont miss the last two epsode next week!! Aisee hamtojutia!! .....tchaooo!
Pole sana mkuu kwa changamoto ya wanao comment kama vile story ni yao, wavumilie tu maana huu uzi unafuatiliwa na members kutoka majukwaa yote 😂@yoga Asante kwa story hii.
Hakuna namna uweke link za post zako zote kwenye uzi huu iwe rahisi kutiririka nazo. Maana kuna watu wanacomment au kureply kama na wao wanasimulia inakua ngumu kufuatia posts zako.
Yakifanikuwa uje uniite mbwaSystem ilisukwa na ipo mpaka sasa, subiria kidogo tu utasikia born town anapiga yowe na kunyamaza mazimaa.
Old CEO alikufa but system yake haikufa ipo hai, nasema ipo na utajua siku ile ambayo huyo mjanja wa mjini atakapogeuzwa kama chapati kikaangoni.
Ina maana hayatafanikiwa?Yakifanikuwa uje uniite mbwa
Wasukuma kwani nyie ni watu basi endele kuotaIna maana hayatafanikiwa?
Yalifanikiwa kwa mbabe Hittler akageuzwa kama chapati sembuse na huyo born vichakani?
Time will tell
Naona umeshapoteza fahamu, nitakutafuta fahamu zikikurudia.Wasukuma kwani nyie ni watu basi endele kuota
Kaa kwa kutulia the late CEO hakuwahi kuwa na tamaa za kutawala milele, yeye alitaka kwanza awapige chini wasakatonge, anyooshe kampuni basi na muda wake ungefika angetoka bila shida. Taama za majambazi ndo zilifanya mkakati wa kumtangaza kuwa anataka kuongoza milele. Ukwendreeeee huko kama hujui mambo soma comments.Alisingiziwa!? Inaamana unaamini vyama vya upinzani vilishindwa vyote? Unaamini hakuwa na mpango wakuwa na kuwatoa wapinzani mjengoni? Ili iweje wabakie wao tu? Au hao waliomsingizia ndio walimshauri Mjengo uwe na Chama cha kijani tu? Ili iweje?
Habari ndo hiyo tusubirie my yoga atuletee utamu[emoji2957]Hii ziara ya Kagera kuna lijambo.
Let's wait and see time will tell[emoji849]Na mm nlitaka niulize hivi hivi,ukiona born town anaanza kukuzngua kwa mafumbo ujue ndani kunafukuta,time is only medicine.
Hakuna marefu yasiyo na mwisho Kila Jambo na wakati wake mwisho utafika tu achana na wasio amini.Naona umeshapoteza fahamu, nitakutafuta fahamu zikikurudia.
Ukiua Kwa upanga nawe utauawa kwa upanga.born town mwenyewe muuaji hata wakati wake wa uongozi Aliua wengi Tu na ukijumlisha na ufisadi siku zake zinahesabika haponi tena.hafai kuishi Tanzania anarudisha kampuni nyuma Kwa ufisadi na Kula keki ya kampuni peke yake.siku zake zinahesabika.ni MTU WA ovyo na ajabu ndo maana anamaadui wengi jiandae kulia.tunaangalia kumtanguliza mtu, tena basi motoni anateketea mpaka Mr Born na wewe mtakapofuata, mwendazake na familia qwishney
na tunamuombea Born town afikishe miaka 100 halafu aende peponi kwa kazi ngumu ya kumfyeka mjomba wako.
Nani angemuweza mwendazake?
Mkuu elewa kwamba tunasoma simulizi.. Ambazo hatuna uhakika nazo japo.... Kuna ukweli asilimia kidogo.. Pia kuna uongo kidogo ili simulizi hizi zinoge na kuongeza uelewa wa mambo...Kama umesoma story hii neno kwa neno utakuwa Umegundua kitu, ila kama hujui kufungua code utakuwa gizani ndugu.
Ni kwamba old CEO aligundua kuwa wapinzani(baadhi) ni njaa tu ndio tena ni wanafiki wakubwa waliopandikizwa na born town ili kulinda enzi yake. Hivyo old CEO alianza kuwanasa kwa kuwanunua, na alipoona wananunulika kirahisi mwanaume akaazimia kuwafutilia mbali watoke kabisa na wasiingie mjengoni wapuuzi hao.
Msome vizuri yoga ktk hii story kisha linganisha na matukio yote yaliyopita (hata yajayo) na utapata jibu kuwa nchi yetu imechezewa sana na inaendelea kuchezewa na wahuni wachache wakiongozwa na Mr born town.