Dark days 17/03/20...

kumbuka borntown ni mwamba wa hizi mambo ndio maana akaamua amsogeze na nduguye Mango karibu bahati mbaya EL hajiwezi tena chamoto wangekiona
Na kuugua kwa EL kuna mkono wa wahuni, angekuwa fit wangekiona cha mtema kuni hawa wahuni, ingawa wengine wanadai eti kuumwa kwa EL kunatokana na kunywa kupitiliza pombe kali, lakini mimi siamini mbona Mzee Slimman kutoka bunda nasikia nae amekuwa mnywaji wa gongo asilia miaka mingi na yupo tu.
 
Aliyesema nitahakikisha 2020 hakuna upinzani na akatekeleza kwa vitendo ni Borntown? Acheni uongo mchana kweupe
Kijana naona hufuatilii hii story ama husomi neno kwa neno 😁

Mr new culture, kijana msema sana na wengineo ni mapandikizi ya Borntown na ndio maana aliwafyekelea mbali maana sio wapinzani wa kweli bali ni wasaka tonge tu.

Hakuna upinzani tz
 
Binafsi waliounga juhudi wote wakati ule niliwadamehe walipitia nyakati ngumu sana.

Ukikataa kuunga juhudi kwa kupokea mpunga basi jiandae Red Blood cells zako ni halali yao.

hata wale covid 19
Watu wengi wanafikiri Covid 19 walipenda wenyewe kuwa vile...

Wale waliokoa maisha yao kuwa vile na Kampuni iliamua hivyo...
 
Kijana naona hufuatilii hii story ama husomi neno kwa neno 😁

Mr new culture, kijana msema sana na wengineo ni mapandikizi ya Borntown na ndio maana aliwafyekelea mbali maana sio wapinzani wa kweli bali ni wasaka tonge tu.

Hakuna upinzani tz
Uongo umekuburuza. Hii stori mtoaji ameikoroga koroga ili inoge na kusomwa na wengi. Unataka kusema TL ni ccm aliyepachikwa? Au Heche? or even Msigwa?

Tumia akili mkuu.

Yoga story yake inatakiwa uwe na akili kuielewa.
 
Tena akifika kwao anaagiza Lita tano [emoji1]anagonga taratibu [emoji1787][emoji1787]
 
Uongo umekuburuza. Hii stori mtoaji ameikoroga koroga ili inoge na kusomwa na wengi. Unataka kusema TL ni ccm aliyepachikwa? Au Heche? or even Msigwa?

Tumia akili mkuu.

Yoga story yake inatakiwa uwe na akili kuielewa.
Yoga ni kama mental vile si ndio unavyo amini!

Haya niambie, nani alimleta CDM Lowassa?

Kichaa yoga keshamwaga mchele kaeleza kila kitu kuhusu huyu mwanaccm mlafi kuingia NEC ya Chadema na aliyoyafanya yanajulikana kila mahali, kwa akili yako hao waliowezesha Lowassa kuwa mgombea urais kwa ticket ya Chadema wana akili kuliko wewe au wewe una akili kuliko wao?

Borntown siku zake zinahesabika, kama humwelewi yoga kaa kimya subiri uone "hekaya" itakavyo ishia.

Tulia man 😂
 
Death to death game. Matter of time.
 
alinusa hatari ndio maana akakimbilia kwa PK ila akawahiwa kabla hajasuka system yake
alinusa hatari ndio maana akakimbilia kwa PK ila akawahiwa kabla hajasuka system yake
Hakujipanga kua CEO, ni kama alibet mkeka ukatoa green. Kwa sababu alipaswa kupanga system na mikakati ya kukabiliana na aliowataka... Bahat mbaya akawa na system dhaifu kuliko ya adui zake.
 
Aliyesema nitahakikisha 2020 hakuna upinzani na akatekeleza kwa vitendo ni Borntown? Acheni uongo mchana kweupe
Afu usibishane na mimi nakuchapa kiboko, mimi miaka mingi nilikuwa upinzani, 2015 nilizunguka kata 19 kwa mguu, so hujui unacho kiongea. Siku ukijuwa ukweli wa mambo hutoandika ulicho kiandika.

Mimi kwa sasa sina chama chochote. Lakini kilichofanyika 2020 kwa hasira hata mimi ningewaondoa wote wakalime huko tandahimba😂.Tho kulikuwepo na sababu nyingine

Hivi unajuwa nini maana ya mtu kujifanya anatetea wananchi kumbe ni under cover? Sijuhi unanielewa? Mtu anashinda jukwaani akijifanya mtetezi kumbe anakula sahani moja na mafisadi.

Now take this from me, usimuamini mtu yeyote na usiwe shabei wa chama chochote utaishi maisha ya raha.

Hata hujui kwa nini ilifikia hatua ile wewe unaogea tu.

Dogo nikwanbie kitu omba hata ndugu yako aje apate position ya juu, lazima binadamu watamfanya awe katili, hivi unajuwa watu walivyo wabaya? Jitu linapanga mpango wa jambo kubwa baya lifanyike ati mwisho iaminike mtawala ndo kafanya hii dunia tambala bovu.

Dogo lala wacha kubishana na wakubwa ukikua ujajua hujui.
Aliyesema nitahakikisha 2020 hakuna upinzani na akatekeleza kwa vitendo ni Borntown? Acheni uongo mchana kweupe
 
Umempa makavu huyo dogo 😂
 
Hakujipanga kua CEO, ni kama alibet mkeka ukatoa green. Kwa sababu alipaswa kupanga system na mikakati ya kukabiliana na aliowataka... Bahat mbaya akawa na system dhaifu kuliko ya adui zake.
tuseme tu kwamba jumba bovu lilimuangukia, kateuliwa kuwa rais wakati hakuwa anaijua security system yake ikoje kaja kugundua yupo hatarini akiwa tayari ndani ya target
 
Muumini wa legacy asiyejificha sio wa kumfunda mwenzie kuhusu kutoamini mtu
 
Mi naomba kujua,kwenye hii riwaya Mr.born town anaonekana ni mwamba kwelikweli sasa yule mzee wa mkono wa baunsa kipindi anamponda ule ujasiri aliupata wapi?mana alikua anamponda kweĺikweli adi tukaamini mr.born town haogopewi kabisa na mkono wa baunsa!
 
Je bifu lilianzia hapa Mr. Bern na Borntown?
Mr. Bern alivyoenda kutoa kutoa ushahidi juu ya Jumba kuu kuuzwa kule kwa kina Van gaal?
 
Anaefanywa Mwamba kwenye uzi!

Ndio tagert yao

Wanamzubaisha tu

Wanamalengo yao

Tusubiri!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…