Afu usibishane na mimi nakuchapa kiboko, mimi miaka mingi nilikuwa upinzani, 2015 nilizunguka kata 19 kwa mguu, so hujui unacho kiongea. Siku ukijuwa ukweli wa mambo hutoandika ulicho kiandika.
Mimi kwa sasa sina chama chochote. Lakini kilichofanyika 2020 kwa hasira hata mimi ningewaondoa wote wakalime huko tandahimba[emoji23].Tho kulikuwepo na sababu nyingine
Hivi unajuwa nini maana ya mtu kujifanya anatetea wananchi kumbe ni under cover? Sijuhi unanielewa? Mtu anashinda jukwaani akijifanya mtetezi kumbe anakula sahani moja na mafisadi.
Now take this from me, usimuamini mtu yeyote na usiwe shabei wa chama chochote utaishi maisha ya raha.
Hata hujui kwa nini ilifikia hatua ile wewe unaogea tu.
Dogo nikwanbie kitu omba hata ndugu yako aje apate position ya juu, lazima binadamu watamfanya awe katili, hivi unajuwa watu walivyo wabaya? Jitu linapanga mpango wa jambo kubwa baya lifanyike ati mwisho iaminike mtawala ndo kafanya hii dunia tambala bovu.
Dogo lala wacha kubishana na wakubwa ukikua ujajua hujui.