Dark days 17/03/20...

Dark days 17/03/20...

Mkuu hata Mr. Late na genge lake + branch manager walikua wanakula sana sio kwamba wao walikua watakatifu. Shida yao ni kwamba kula tu waliona haitoshi wakaingilia na kuleta athari kwenye maisha ya watu wengine wasio na hatia.

Bora hata mazingira ya Mzee Sema sana hayadhuru watu back hata kama yanadhuru sio direct moja kwa moja kama ilivyokua kwa Mr. Late

Kampuni ilikua inaenda kibabe sana huku ndugu na CEO wakiongoza kampuni wanavyotaka na kujisikia kana kwamba wanawatawala wake zao (Rejea kwa branch manager alivyokua ana treat watu vibaya, rejea vifo vya kina watch8 na n.k)

Binafsi naona ni bora hata amani ya ku fake kuliko wakati ule
Mkuu hongera kwa kuliona hilo..

Kwanza alipitiliza kila kitu akitaka kwanza yeye aone maslai yakoje na kuwa mkali sana asisemwe hapa umekosea.

Natolea mfano wa wazi.. Late CEO aliondoa clearing/forwarding companies nyingi pale mjini kati. Lakini ikatengenezwa moja ionekane ndio inashughulisha na bandari ili eti mapato yaongezeke. Ile iliyotengenezwa ilikuwa ya kwakwe binafsi ila kwa jicho la nje inaonekana kwa mfumo wa taasisi kampuni. Kitendo hiki kiliaribu ajira za watu kama 5,000. Wengi walikuwa wanajishikisha hapo mjini na hakosi hata msimbazi kwa siku.. Kwa kazi hizo na zilikuwa halali.

Kuna mazuri mengi amefanya late CEO na pia kama binadamu kuna mabaya machache aliyafanya. Lakini ukiweka kwenye mizani Mazuri mengi aliyoyafanya yanafunikwa kwa mabaya machache aliyotenda
 
Mkuu hata Mr. Late na genge lake + branch manager walikua wanakula sana sio kwamba wao walikua watakatifu. Shida yao ni kwamba kula tu waliona haitoshi wakaingilia na kuleta athari kwenye maisha ya watu wengine wasio na hatia.

Bora hata mazingira ya Mzee Sema sana hayadhuru watu back hata kama yanadhuru sio direct moja kwa moja kama ilivyokua kwa Mr. Late

Kampuni ilikua inaenda kibabe sana huku ndugu na CEO wakiongoza kampuni wanavyotaka na kujisikia kana kwamba wanawatawala wake zao (Rejea kwa branch manager alivyokua ana treat watu vibaya, rejea vifo vya kina watch8 na n.k)

Binafsi naona ni bora hata amani ya ku fake kuliko wakati ule
Nafkiri kwenye kula hapo hujamuelewa luckyline ni kwamba kwenye ushindani wa biashara washindani wawili hawawezi kuwa na maslahi yanayofanana katika kampuni moja, iweje hawa washindani wale sahani moja? Wafanyakazi wa chini watalichukuliaje hili kama si unafiki?
 
Hahaa nimekumbuka kitu..
Unajua hata kipindi hiko 70's Aliyekuwa CEO wa kwanza wa Kampuni yalishamtokea mara nyingi akawa anakwepeshwa na wasamaria wema..
Akataka kujua chanzo.. Akaambiwa umekaa sana kwenye kitu.. Achia madaraka yeye hasikii..
Kwenye 80's akiwa kwenye vikao vya ndani ya kampuni akasema nikitoka kwenye kiti hiki basi Mfanyakazi wangu hodari (anatoka kwenye jamii ya wafugaji) ndiye anayefaa..
Washikadau wa kampuni wakapigwa butwaa huyu msimamizi mkuu wa shughuli za kampuni anatusumbua namna hii kila dakika ni uhujumu uchumi...
Wakasema hapana.. Aliandaliwa msafara kutoka Makao kuja mjini akala mzinga wa hatari.. Ceo wa wakati huo alipopata taarifa ya msiba wa msaidizi wake mkuu wa shughuli.. Akajua kituo kinachofuata ni yeye mwenyewe.. Ndipo ikatoa tangazo kubwa kwamba NANG'ATUKA..
Basi washikadau wakatulia na ndipo ikaleta terms ya kuchukua kiti cha CEO ni miaka 10 tuu..
Ukizidisha kitakachokupata usilalamike..
Vipi kuhusu yule baharia?
 
Wewe jamaa umeandika kitu kikubwa sana aisee maelezo mafupi lkn yaliyobeba maana nzito sana hongera sana mkuu
 
Kelele zote huwezi amini kijana msema sana ana mahusiano maziri na old CEO. Hii michezo ndio ilivyo.

Majuzi kuna mtu alinambia face to face kuwa deep informer ana mahusiano maziri na baba mwenye democrasia zake.nilipinga ila naanza kuunga dots.
Alivyowekwa kabatini kelele kibao utadhani hawajuani, siku anaondolewa anaenda kusujudu.

Hizi michezo waachieni wenyewe kelelee nyingi utadhani ni wakweli.
Embu fikilia kelele za kijana msema sana hadi leo kumbe yeye na old ceo ni mabest? Mdo maana baada ya tukio deep informer alienda kumjulia hali na majuzi wamekutana yaani mara daftari limeibiwa anunuliwe jingine aweze kusoma tena, nyoooolo zako nimepata kichefuchefu
Ila watu kwa code hamjambo eti "daftari"
I salute itabidi nirudu shule
 
Hapo kwenye "Daftari Limeibiwa" kamaanisha nini mkuu?

Huyu luckyline angeileta hii stori yeye tungeteseka sana kwa codes ngumuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
OK ngoja niidadavue...
Hivi ukiwa na safari kutoka kampuni moja kwenda kampuni nyingine nje ya mipaka... huwa kuna Daftari linahitajika ili uweze kutoka nje ya mpaka..
NIMEMALIZA
 
Kwa kipande hiki angalau matumain yanaanza kuonekana, ila vipi huyu new CEO hawezi kupandikizwa kunguni na tabasamu Kama alivyofanya kwa Magufuli.

Ila Mimi maombi yangu ni tabasamu apigwe apigwe apigwe mpaka achakae.
Asingempa maelekezo kama hajapandikiza chawa. Hawa lao moja, old CEO na old CEO
 
luckyline si kwa mapenzi yale ya baba kwa branch manager hata juzi kwenye siku ya maadhimisho ya kifo chake alikuwa pale chato akiwa frontline na vijana wa mzee
Niliona ila kinachonishangaza ni kwa nini alimuamini wakati sote tunajua huyu ni kijana wa old CEO? Maana hakustahili kumuhusisha kwenye mambo makubwa.lakini ndo hivyo alimuamini.
 
Taarifa ikamfikia late CEO kuwa kijana bado yuko hai! Kapelekwa local hospital!! Akachefukwa sanaaaa akatoa order kijana aletwe mjini atamtibia mwenyewe chini ya uangaluzi wake wakati huo akawa amemnotify daktari wake kuwa ajiandae kumfanyia kazi maalum! Daktari akawa ameelewa anachokitaka CEO na huyu ndio yule daktari mtoa dawa za michongo CEO alipoanza kuumwa
Aisee! Hii simulizi ni ya kuogofya sana!
 
Niliona ila kinachonishangaza ni kwa nini alimuamini wakati sote tunajua huyu ni kijana wa old CEO? Maana hakustahili kumuhusisha kwenye mambo makubwa.lakini ndo hivyo alimuamini.
Mimi kosa langu kwake ni kumkubali CEO mpya wa kampuni wa sasa hivi kuwa msaidizi wake, nikikumbuka zile TOP SECRETS zilivyokuwa zinavuja hovyo kwa yule mshenzi Kigogo naaanza kuamini huyu ndio alikuwa mshirika mkubwa wakishairikiana na mkuu wa security maana mzee wa smile ndio alimtengenezea njia wote hawa hawakuwa loyal kwake Dead CEO alikosea kimtoa KP katika ile nafasi yake.

Jamaa walikuwa na mkono mrefu mno, hivyo walimchezesha vilivyo the dead CEO alilijua hili sema alikuwa mbishi sana.

Hakika kikulacho siku zote kiko nguoni mwako.
 
Back
Top Bottom