Dark days 17/03/20...

Huyo unayemtaja sijui katoka visiwa vya UK hana ofisi hapo kwa current CEO, huyo mzee anayetajwa na yoga ofisi yake ipo hapo hapo kwa current CEO.

Jiongeze bwashee hujafungua code ya Mzee 😁
Mkuu mzee ndio huyo huyo kachora Hadi kitabu kinachotumika Sasa hivi, halafu huyo unaemsema sio maana ukucheki umri wake na born town alivyo wamepishana miaka miwili tu kwa hiyo mwamba alifungua code fresh.
Ukikumbuka Yoga alisema paka alimwambia mzee kwamba unashirikiana na born town wakati alikusaliti na kupoteza popularity yake unakumbuka born town alivyomuondolea sabufa wakati anakua CEO akampa sabufa bwana six.
 
So kuna wazee wawili?
Wa UK retired ila anayeongelewa na yoga anapiga kazi na ofisi yake ipo hapo makao makuu ya kampuni, wafungua code waliotangulia walimtambua kuwa ni Kachikum G, sasa code ya huyo wa UK ni ipi?
 
Before God nguvu za Giza is totally nothing ni kujilisha upepo.hii kampuni ni kampuni ya Mungu.Mungu atawandoa wadhalimu wote.

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Hakika hakuna kitakacho mshinda Mungu Giza na Nuru havichangamani na Nuru siku zote huangaza maovu ipo siku vya gizani vitakuwa hadharani hapo ndipo mwanzo wa utungu na Mungu ni mshindi mwisho wa siku.
 
Sisi hatupendi Ugonvi,sema ukituuzi sana kupita kiasi lazima tukuchape, mfano mdogo tu ni Amini na Uganda yake! Kwa hiyo hizi Nchi nyingi za East Africa zinalitambuwa hilo!!
 
Mkuu
Yule mtabiri marehemu
Sheh yahya ndiyo aliemkabidhi wazee wa kulinda huyo BT!
Nasikia KILA kombora linagonga mwamba na kumrudia alielituma!!

Ngoja Tuone likigonga mwamba lotawarudia wangapi na Kuwa RIP!!
 
Sisi hatupendi Ugonvi,sema ukituuzi sana kupita kiasi lazima tukuchape, mfano mdogo tu ni Amini na Uganda yake! Kwa hiyo hizi Nchi nyingi za East Africa zinalitambuwa hilo!!
Lakini huyo fashisti wa Uganda alituporomoshea Uchumi wetu, hadi leo tupo hoi japo nduli hayupo.

Vita vina wenyewe jomba,paka kapigana sana vita na Uchumi wake upo vizuri akileta za kuleta tutampiga ila Uchumi wetu utaporomoka kuliko hata ulivyoporomoshwa na Nduli
 
Mkuu
Yule mtabiri marehemu
Sheh yahya ndiyo aliemkabidhi wazee wa kulinda huyo BT!
Nasikia KILA kombora linagonga mwamba na kumrudia alielituma!!

Ngoja Tuone likigonga mwamba lotawarudia wangapi na Kuwa RIP!!

Mtabiri ni mwanachama wa kulekule, nje ta kazi yake ya utabiri ana hekima na historia yake....

Kijana ni kijana wao japo haishi gizani, walimleta huku kwa ajili ya kazi zao.... ana baraka za kila kitu.. walio huko ndio wanajua role yake and how loyal he is to the family.....

Wengi huanza wenyewe kumgusa yakigeuka jamhuri ya vibwengo tunaanza kelele, mamlaka ya vibwengo inamwisho, hata yule jamaa kule ndani gizani wanajua yeye ndiye alianza kwa tamaa zake tena si mara moja bali mara kadhaa......bosi wa vibwengo hakujua mamlaka ya vibwengo ni ndogo saana na iko monitored somewhere na huyo wanayepambana naye ndio chair wa check and balance akireport gizani live live....

Vingwengo hatujui meengi, hata nani bosi wa kile kikundi sumbufu cha R&B na nani alikianzisha kwasababu gani? bado hatujui nani kakiua ili iweje hatujui.....RIP mzee wa tabora umeondoka na mengi na heshima yako kule gizani.... (dah ungekuwa hai sijui kama yule dogo angevimba mbele yako japo mwenzie amebaki mtiifu maana ulimpa some codes and he know the limits).....
Yule mgombea Urais naye alijaribu hana hamu tena bila shaka.....

hahahahahaha eti team up with Nyau, halafu tunazungumzia uzalendo....files are there to ensure the land is safe and proud to your sons, grandsons and many generations....
 
there is piece of paper to guide vibwengo and to make sure they are surviving kwenye ulimwengu wa vibwengo, but there is files to safeguard the land and to make sure vibwengoz are safe in both places..... the files are not the property of mamlaka ya vibwengo but owned, controlled and protected in dip dark......
 
Kwahiyo tuamini ni yeye Alfa na Omega au tungoje ajaye? Na hii hekaya ya yoga je?
 
Mkuu!
Kuna tetesi humu JAMVINI Kuwa Baada ya huyu malkia anayekuja atakuwa na mamlaka mapya ya kiroho na ataikomboa ardhi kutoka ufalme wa Giza huo uliopo chini ya giza kijana mwenye kutabsamu!!
Kwamba utakua Mwisho wa Giza Kuwa mlinzi wa ardhi yetu bali Mwenyezi mwenyewe!!
Na HUYO Mjoli wa Bwana kishaanza kupiga jeramba KWA mikutano mizito ardhini kwenye Kanda ya ziwa nyanza!!?

Je mamlaka ya Giza yatakubali hilo Jambo!!?

Hayatamdhuru mjoli!!?
WEWE waonaje!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…