Dark days 17/03/20...

So kuna wazee wawili?
Wa UK retired ila anayeongelewa na yoga anapiga kazi na ofisi yake ipo hapo makao makuu ya kampuni, wafungua code waliotangulia walimtambua kuwa ni Kachikum G, sasa code ya huyo wa UK ni ipi?
Agachuuuu.. Ni captain huyu mzee. So alikuwa captain wa born town enzi hizo!?
 
Hii naisikia Kwa Mara ya pili. How mpaka leo tunataabishwa kwasababu ya ile vita?
 
Mkuu
Yule mtabiri marehemu
Sheh yahya ndiyo aliemkabidhi wazee wa kulinda huyo BT!
Nasikia KILA kombora linagonga mwamba na kumrudia alielituma!!

Ngoja Tuone likigonga mwamba lotawarudia wangapi na Kuwa RIP!!
Uchaguzi wa 2010. Waliitwa waganga na wanajimu wengi nguli kufanya hiyo kazi. Uliyemtaja alishiriki pia. Kuna jirani yetu alikuwa masaidizi wa jamaa mmoja hivi ktk hizo shughuli so naye alihudhuria ktk dua ya BT. Alichotuambia kuwa kama BT akidhurika na dark powers basi itakuwa si mchezo maana vilipigwa visomo kuskaz, mashariki na magharibi. Dua ya mwisho kuna jamaa alitoka Mbagala alishusha kiumbe BT akaambiwa aende popote. Na dua ziliishia hapo.
Yaliyotokea Jangwani jamaa akawa anasema hamna kitu pale labda watumie mbinu nyingine ama kudra.
 

hahahahha, hata walioko gizani wanakwenda msikitini na kanisani.... tena wengine ni wazee kabisa wamisikiti na makanisa na ndio watoa michango mikubwa sana huko...

Giza lipo sio kwa shari hapana, lipo ili uwe huru, uwe salama, uenjoy maisha, ujivunie nchi yako nk.....mamlaka ya vibwengo ipo kwasababu there is people indark.....
 
Sheesh!!![emoji2]
 
Find him , I'll fix him.

Mzee comment zako kama nasoma mistari ya thriller maestro James Hadley chase.

No orchid for miss blandish
 
Hili nakubaliana na wewe why the whites wanaipump kale kamkoa kake

Juzi Commonwealth wamekutana kule what so special about hako kamkoa.

Jamaa ni their hunting dog anakwaoua resources na kupelekea mabwana zake!

Once they are tired of him wata dump like a used toilet paper.
 
juzikati mdogo wake alikaririwa anarudisha maneno yasiyona utii kwa boss wao,mpaka boss nayeye akajibu kwamba vijana wakiambiwa ukweli wanakuwa wakali kama pili pili.
unadhani ilikuwa bahati mbaya!!!au ni baada ya kuona fadhira alizolipwa mwenzie hata baada ya kazi nzito??ukumbuke hata hiyo kauli aliitoa mara baada ya boss wao kuonekanani mtu asiyekubali kazi za watu,hata iweje.

lakini ipo siku tutamwelewa proff mtoto wa ally kwanini alijaribu kufanya kile alichotaka kufanya,hawa hawa wanaoparuwana na boss wao wakamzuia kibabe sana,mixer kumweka kizuizini,maana walitimba mpaka hospital baada ya kuona hawalewi.
kwasasa wakipishana na proff wanainama chini.
 
Kifo ni ibada kwa mwanadamu, hii ni kwa mujibu wa dini zote....Kifo ni mali ya Mwenyezi Mungu, yeye ndiye anayeamua nani afe nani abaki..

Tatizo linaanzia pale wanadamu wanapotaka kujimilikisha kifo na kuondoa wenzao, Mungu ametupa mamlaka ya kujilinda na wanadamu watoa roho ( tunasema kheri kwa kheri, shari kwa shari)... Ndio maana hata huku gizani watu humcha Mungu pia..

Mungu ametupa mamlaka ya kuzilinda dola zetu, mipaka yetu, watu wetu, utu wetu,jamii zetu nk dhidi ya wadhalimu wakazi wa dunia walioamua kuuishi dunia..... Hali hufanya watu kutumia mbinu mbalimbali kuishi na kusurvive..... Gizani you should exist strongly and in vibwengo world you shoud do the same hahahaha at the end " survival of the fittest...

msianzishe msiyoweza kuyamaliza au msiyoyajua......Conference 18, out of control, abandon the ship......Vibwengo aora..... Vale.
 
Hivi hili la kuingia Chumbani kwake ni kweli au mnaongezea viungo kunogesha?

Inawezekanaje kwenye karne ya 21?
 
Hahahahahaaaaa unamsungumzia Shibura Forester [emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23][emoji38][emoji23]
 
vibwengo wana roho na wana miili pia,ni hasara kubwa kwa kampuni kama ilipata kutokea vibwengo wasielewe late CO alikuwa mtu wa namna gani.
leo hii story inakuja kutufungua kujua kwamba hakuna system tunayoiamini bali kundi fulani la wahuni njaa kali as long umegusa maslahi yao utaondoka.

vibwengo ni vibwengo tu,zaidi ya kutishia watu hakuna kitu cha msingi wanawezakufanya.
 

unavyoamini sivyo ilivyo......Vibwengo usalama wao haupo kwenye mamlaka yao, ipo mamlaka yenye nguvu zaidi ya mamlaka yao, Mamlaka hiyo ndio inajua uelekeo ni wapi na nini kifanyike kuwalinda vibwengo.....hii ni kila Taifa unaloliona chini ya jua linaishi hivi...

Usalama wa vibwengo uko mbali gizani, walinzi wa usalama wa vibwengo wako mbali gizani....

A05 - hakuaminiwa na si mmoja wao, balance and check to him results negative..
Kosa, kuamini he was the top, akisemacho ni sheria all over, kumbe yeye ni wa vibwengo...na ana mipaka, and he is monitored, kosa lingine tried ceazing the young boy bila makosa aisee, wale waliomshauri ndio waliokosea eti just to control and be ontop of everything.....thats where the button pressed......its history....
 
A05 hakuwa mmoja wao thats why hajawahi kuwa mpuuzi katika mambo ya kijinga jinga kama yule mwingine,kama kuna jicho kubwa zaidi katika kila yanayondelea basi jicho hilo limefunikwa na filamu iliyorekodiwa matukio,likiamini linaona picha halisi.
alikataa madawa wazi wazi jicho likamchukia serious!!!!
alikataa uonevu na matabaka jicho likamchukia serious!!!!
alikataa uzembe kazini jicho likamchukia serious!!!
alikataa wizi mali za uma jicho likamchukia serious!!!!
alikataa utumwa mamboleo jicho likamkataa!!!!!

finally ikaonekana hapana wacha aondoke kabisa!!hili jicho liko kwa maslahi ya nani,maana hata vibwengo wananashangaa sasa haaaaaa???maana wao wanajipambanua mlengo wao ni ustawi wa mama kampuni.
young boy ana rangi yake ya asili,ndio maana alikimbia uhamishoni maana alijua kilichomponza ni kikubwa sana hakistahili msamaha,usaliti kwa mgongo wa harakati.
 
the young boy , leave his life, enjoy the life, he was just doing his job, collecting data, check and balance and hence reporting to other ghost...... The guy had no problem, he was and he is good boy, he respect anyone, much respect and appreciations to even old ghost...they love him because he keep listen them when he is out the way...
 

hahahaha out of course, there is young boy, quite and smile all the time....there is young boy spitting and talking talking with no point and focus......

meeengi unayoona yapo pia kwa sababu, lack of knowledge can take you out..... hope u know old KGBz and Cow boyz CIA and their business.....hope u know mexico and colombia are in border.....get the point mike.

twende sasa, vibwengo hatujui kitu hata hivi kwenye huu ulimwengu wetu..... wajuzi ni ghost sio kwa maslahi yao bali kwa maslahi pia ya vibwengo, usalama wako inawezekana ukiondoa mwenyezi Mungu unayemuabudu hujui nani wengine wanakulinda nje ya Hawa uwaonao....

There are rules in house....and the house should be clean....hope not the way you think maana pia niko ubongoni kwako...hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…